Jambo linalonishangaza kuhusu hawa wazee waliopo studio za Star Tv namba 1 ni kufikiri hawa wasomi madaktari hawana madai ya msingi. Na jambo nililoliona hapa, wazee walio wengi wanaupinga huu...
Ni jambo la kusikitisha kuona matumizi mabaya ya barabara ya uhuru wakati wahusika wa usimamizi wa matumizi ya barabara wapo na wanaangalia jinsi waendesha mikokoteni wanavyo pita katikati ya...
Safari hii wamepatikana...wamezoea kuwagonga virungu wanafunzi UD...kuwamwagia maji CDM...kuwapiga mabomu wazee wa EAC
Sasa safari hii wamepigwa bao...watawafuata madr majumbani??
Ktk wilaya ya misungwi kumetokea ajali ya moto ambayo cjawahi kuona
iko hv:
jamaa yy pa1 na wa2 wa4 wamekufa papohapo baada ya moto kutokea ndani
MAAJABU :
a)(moto umeunguza wa2 walikuwa...
Na Richard Bukos
INASIKITISHAJE? Wakati wenzao wakijituma kufanya kazi ili kusukuma mbele gurudumu la maisha, akina mama wenye umri uliosogea, ambao ni mama zetu, wamenaswa laivu wakifanya...
March 7, 2012 12:13 pm
BAE yet to pay £29.5m false accounting fine
By Caroline Binham, Legal Correspondent
BAE Systems is yet to pay the £29.5m that it owes Tanzania as part of a...
Polisi wakwama kumfikisha Shelukindo mahakamani
Send to a friend
Thursday, 08 March 2012 20:12
0diggsdigg
Elias Msuya na Joseph Zablon
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam...
serikali yetu ndio imetufikisha hapa tulipo,pamoja na hayo yote 2015 tutasahau haya yote na kuipa ridhaa tena.tuamke vijana wakati ndo huu na mabadiliko yanaanzia kwako hapo ulipo usingojee...
Wadau, naona shirika la nyumba la Taifa linafanya ujenzi wa magorofa mapya ubungo-shekilango na chang'ombe. chakushangaza naona wanatumia open spaces(eg parking) zilizoko katikati ya majengo yao...
Hapa ninapata kigugumizi kujua hasa wazee ambao huwa anaongea nao Mhe. JK ni akina nani, kwani wanaooneka kuongea nao huwa ni wazee wa CCM kwa mtazamo wangu na kwa muonekano wao.
Hebu tusaidieni...
Ndugu zangu naomba kwa haya nayowaeleza mpate kunijuza yawezekana kuna mwenye ufahamu wahili.hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO !
Huduma duni za wodini.
Ongezeko la vifo wodini...
wadau wa JF naombeni mnijuze kwanini siku yawanawake duniani ni tarehe 8 march, au kuna tukio lilitokea tarehe hiyo ndo wakaamua kuifanya iwe siku yao?? Karibuni tujuzane
Radio clouds wameonywa kutoa mijadala au taarifa mbali mbali juu ya mgomo unao endelea imefahamika kuwa kipindi cha mwanzo waliupa mgomo airtime kubwa ndio maana ulifanikiwa sana na hizi taarifa...
Ni kama vile serikali za kiafrika zinaongozwa na wacheza cimema wanaoigiza chini ya director mmoja.Haitashangaza kuona serikali ya bongo ikaamua kuiga kilichotokea Kenya kwa kuwafukuza kazi...
SALAMU TOKA MABWEPANDE.
Kwa wale wote mnaokumbuka yaliotukuta miezi kazaa iliyopita huku mitaa ya JANGWANI nafahamu mtakua mna fahamu mkasa nlio uandika kuhusu yaliyo nikuta na familia yangu...
Ndugu wana JF. Kwenye baya tukemee na kwenye jema tupongeze. Mimi nampongeza Raisi wa Jumuia ya wanafunzi wa kiislamu kwa kufanikisha madai ya wanafunzi hao kwa njia ya amani. Ila tusiache hili...
Napata shida sana kuelewa pengine ni ujinga wangu au kwa kuwa nimekosa pa kuaminia. Kila napomuona Rais anapost jambo kwenye facebook au Twitter afu nchi inajadili jambo tofauti kabisa huwa...
KAULI mbiu ya Ari, Nguvu na Kasi Mpya ilioasisiwa na Rais Jakaya Kikwete ilikuwa na lengo linalofanana na ule msemo maarufu wa Kichina unaosema: Usijali rangi ya paka, iwe nyeusi au nyeupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.