Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshangazwa sana na hii televisheni eti ya Taifa, ITV wanaripoti updates za mgomo wa madaktari yenyewe inaendelea na mambo yake kama vile hakuna lolote linaloendelea la hatari nchini. Hii tv vp...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kuuliza swali makamanda wenzangu. Arusha hivi tunavyoongea kuna FFU wa kumwaga kutoka huko walikotoka,sasa swali linakuja hapa,ni upendo wa serikali kutuongezea ulinzi cause labda kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali kupitia Waziri wetu mkuu Bwana Mizengo Pinda inasema imejipanga vyema kuhudumia jamii katika mgomo wa madaktari,hivi mwanzoni mbona watu walipoteza maisha ina maana mlikuwa hamja jipanga...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
A mum is a small portion of God's love in action, A mum is a bank where her children deposit all their worries n hurt, A mum is the cement that keeps her family together n her love lasts a...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Lusimba Midaba studied at Mzumbe and thereafter he went to study in Poland sometime I had heard he was poisoned in Warsaw anyone with information?
0 Reactions
0 Replies
944 Views
  • Closed
:flypig:Nimesikia na kusoma kwenye news inasemekana mzee wa kimasai aliondoka nchini kimya kimya kwenda ugaibuni kwaajili ya matibabu ya maradhi yanayomsumbua, japokuwa haikuwekwa wazi ni nini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Mwema Vedasto IMANI ni fumbo kubwa ambalo limemzunguka mwanadamu tangu mwanzo wa historia yake. Watu wanatafuta majibu ya maswali yasiyoelezeka kisayansi, watu wanautazama ulimwengu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna wakati tulijadili hapa kwamba serikali imefilisika, ukweli au si ukweli si hoja, lakini huwezi kuamini mimi ni mfanyakazi wa serikali hadi leo tarehe 6 mshahara haujaingia. Serikali ya JK...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Clouds media wametangaza nafasi ya kazi kwa mtangazaji wa kike wa michezo mode of application- personal visit to their offices leo.mchujo na mshindi ni leoleo..haya wadada changamkieni...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Nadhani wengi mmeona facebook za mgomo wa madaktari na twitter zinavyovyurumushwa kila sekunde hivi kwa serikali ambayo bado inategemea kutoa habari kupitia michuzi blog na gazeti la uhuru...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Wenye data za huyu 'daktari' wamwage maana sijui kama ni mzima au anataka kumtapeli JK kama Nshomile Rweyemamu ili apewe ulaji. Hivi kama kweli huyu amesoma hajui hata haki za wanataaluma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamiiforums wenzangu jana nilimsikia waziri mkuu akisema kuwa madaktari wakigoma watakuwa wamevunja miiko ya kazi yao. Inaonyesha kuwa serikali haijakubaliana na madai ya hawa watu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sote tunakubaliana kuwa madaktari wanayo madai ya msingi wanayotaka serikali iwatekelezee, ila kinachoanza kijikita sasa katika fikira zetu ni namna ya kudai haki zao na uhalali wa kila njia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
sijawahi kuona matokeo ya kushangaza ya mtihani wa taifa yakitolowa kama ilivyotokea haya ya 2011 hapa Tanzania ,nimetembelea nchi nyingi na pia kusikiliza vyombo vingi vya habari vya...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Serikali ilionekana kuridhia kirahisi sana mapendekzo ya waheshimiwa kuongezewa posho pale mjengoni. Bila shaka waheshimiwa walifanya hivyo wakiamini hakuna atayeleta 'zengwe' pengine wakiamini...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
to be honest hakuna jambo linaliniudhi kama hili jambo linalopigiwa debe kuliko hata maendeleo "GENDER BALANCE" unakuta katika nafasi za uongozi ati lazma nafasi ijazwe na mwananmke tu( yale yale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kila mtu anahaki ya kugoma na kuandamana. Madaktari mmetisha. Ila anaeumia ni sisi maskini. kimsingi Madaktar wapo sahihi kwani serikali imeonyesha kutokujali makubaliano. Nadhani umefika wakat...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni wakati mwingine kwa waandishi wa habari za utafiti na watafiti kuchunguza na kupata data za vifo vya watanzania kutokana na uzembe na maamuzi mabovu ya wanasiasa. Sizungumzii waandishi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Taarifa kutoka Wilayani Ujiji (Kigoma), walimu wapya wamewafungia ofisini wakuu wa idara kwa masaa kadhaa. Sababu kubwa ni kutokulipwa mishahara yao ya February. My Take. Mbuyu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: Mdau Mwenye Hasira Kali Sana: Madudu Ya TBS, Ushahidi Wa Pili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom