Siku ya wanawake duniani kwanini isiwe public holiday tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya wanawake duniani kwanini isiwe public holiday tz?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shembago, Mar 8, 2012.

 1. S

  Shembago JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ni mama zetu,wake zetu,dada zetu,shangazi zetu,mama wetu wadogo na wakubwa,kwanini hii siku ya Wanawake Duniani isipewe heshima inayostahili.Iwe Public Holiday watu tukae na tutafakari mambo makubwa waliotenda hawa wanawake na the way forward? Don't we have the ladies who have made their mark in Tanzania? In some country like Uganda and others because of the respect and equal rights they are accorded and this is one of the many reasons why Internatioal Women's day is apublic holiday in Uganda and other countries,to celebrate the achievements of women.

  Nawakilisha.
   
 2. M

  Mashroud Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna siku ya wanaume duniani?
   
 3. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Zambia siku hii ni Public holiday na ilikuwa hivo baada ya wanaharakati wanawake kuilazimisha serikali kuiheshimu siku hii na wakaungwa mkono na wabunge wanawake hadi wakafanikiwa. Hali kadhalika Youth Day ni public holiday kama ilivyo pia Afrika kusini kwa ile siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16 nayo ni pyblic holiday. Tanzania tuna wanaharakati wapiga kelele tu lakini sio wafuatiliaji wa mambo ya msingi kama haya
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Yaani huu uvivu wa kufanya kazi wewe ndio unaita mambo ya msingi? ina maana wakati wa utawala wa Mwinyi ulijisia raha sana kama sikukuu ikiangukia jumapili basi mnalipiza jumatatu kukaa nyumbani!! hovyooooooo!!
   
Loading...