Hongera mhe JK kwa kuungana na chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera mhe JK kwa kuungana na chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimboka one, Jan 24, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mimi hali ya kukubaliana kati ya mhe raisi na viongozi wengine wa kisiasa kurekebisha sheria ya mchakato wa katiba.jambo hili ni jema sana lakini tukichelewa kusema katiba hii itakuwa ya wanasiasa ambao sasa wameanza kuungana pale magogoni.

  hoja yangu tunataka katiba yetu itungwe na wananchi wote si wanasiasa tu(wawe na nguvu zaidi) ili kuruhusu kulenga maslahi ya wote.
  maana hapa hawa wanasiasa wanaweza kuungana kimiakimia katika mambo kadhaa ambayo sisi wananchi tunataka yaingie kwenye katiba mpya.

  1.si rahisi wanasiasa hawa wakakubali mgombea binafsi.
  2.si rahisi ata kidogo wakakubali kutoa uhuru wa wananchi kumkataa mbunge au raisi kama atashindwa kutekeleza matakwa ya wapiga kura muda wowote bila kusubiri miaka 5 kupita.
  3.pia wanasiasa hawatakubali maslahi yao kupunguzwa
  4.si rahisi kuweka sheria ya kutenganisha siasa na biashara kwani wengi ni wafanyabihashara.
  kimsingi sisi watanzania wa kawaidi tunamaitaji yetu na si kila wakati kusikiliza wanasiasa tu ambao ni tabaka la MATAJIRI hawajui maisha yetu huku uswahilini.
  mbaya zaidi WATANZANIA WENGI WA HALI YA KATI NA CHINI HATUJITAMBUA TUMEKUWA MASHABIKI WA WANASIASA NA KUSAHAU MAISHA YETU BINAFSI KAMA WAO WANASIASA WANAVYOSUMBUKIA MAISHA YAO.
  tuamka nasi wasakatonge tuinuke tudai haki zetu na kuacha kushabikia matajiri wanaotukumbuka wakati wa uchaguzi tena sasa iwe zamu yetu kuwaongoza wao,kwani haiwezekani kumpata masikini mwenzetu awe raisi au lazima atokana na hao tunaowasikia kila mara yaani mtoto wa waziri,mkuu wa mkoa,cheif au mfanyabihashara mkubwa.huu ni ukandamizaji wa kitabaka TUAMKE!.Tuachane na siasa za ushabiki wa chama bora tujijengee imani kwa mtu kama mimi ningepewe fursa ya kutengeneza katiba ningeshauri nchi iundwe kwa mfumo wa mseto.

  mfano Raisi anakuwa Lowassa,Waziri mkuu Dr slaa,Waziri wa Elimu Dr Mgofuli,Waziri wa fedha Zito kabwe,Hapo tamisemi mweke Mwanri au mnyika, si nchi itaenda?,au vinginevyo mradi kuwe na mchanyangiko wa watu wenyeuwezo na kazi husika.haya makelele ya vyama yatabadilika na kuwa utandaji.huu ni mtazamo wangu tu,unaweza nawe kuwaza vingine ndiyo democrasia.
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Umechelewa
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeteleza kidogo kusema Lowasa awe raisi alafu Dr. Slaa awe waziri mkuu mi naona upindue mfano wako
   
 4. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hii kuungana kwa Kikwete na Chadema hasa waunganishi wanapokuwa Zitto Kabwe na Regia Mtema aliyezikwa na Kikwete kwa fedha kubwa inatia shaka kuwa katiba hiyo itakuwa na sura ya Jk na Zitto Kabwe.Yanayoendelea hayanatofauti na serikali ya Kitaifa Znz.Leo hii Cuf na Ccm hawataki tena. Ni bora Cdm wakawaongoza wana nch kupata katiba mpya na sio kuzungumza na Kikwete asiye na nia.Kama unasoma na mtu asiyekuwa na nia ya kufanya mtihani utafeli tu!.
   
 5. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Unajua maana yakuungana?
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mi naona hajui kabisaaaaaaaa!
   
 7. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  liverpoolfc na mayunga,kwa fasili sisi yangu,ni makubaliano ktk nyanja fulani.hapo wamekubaliana kufanya marekebisho huko ni kuungana kimtazamo ktk tapwa hilo
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Maoni ya mtoa mada ni sawa na buzi kuishi na chui.
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nashindwa kukuelewa mleta mada,ullilenga nini hasa
  kila ulipokua ukianza point vizuri mwishoni unajichanganya then unajijibu kisha unajikoroga.nenda fecebook ukaweke upupu kama huo ambao umeandika,yaani bla aibu unasubutu kutoa mfano wa lowasa kuwa rais!ushindwe na ulegee
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135  kaa utafakali upya.kabla ujafikilia kitu unatakiwa ufikilie pande zake zote yaani madhara yake kwa upande mmoja na faida zake kwa upande mmoja.kwa upande wa mseto nataka nikueleze hata sikumoja mistari sambamba haiwezi kukutana,mi nadhani hauwajiu vizuri chadema unawafananisha na CUF.kamautakaa utafakali kwa kina na kukubali kusahihisha matamko yako/mawazo yako (japo najua itakuwa ngumu kubadili kile unacho kiamini)itakubidi ututake radhi
   
 11. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nakumbuka nilichosema na sasa nitafafanua zaidi baada ya mhe Jk kuongea na wazee wa DSM kesho
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  big up Jk
   
Loading...