Katibu Mwenezi CCM atuhumiwa kumbaka binti yatima………..!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Mwenezi CCM atuhumiwa kumbaka binti yatima………..!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bakuza, Jan 10, 2012.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [FONT=&quot] Katibu Mwenezi CCM atuhumiwa kumbaka binti yatima………..!!!!!!!!!!!!!! [/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]30 Dec 2011 asubuhi,Katibu mwenezi wa ccm kata ya Bilele anatuhumiwa kubaka mtoto yatima wa umri chini ya miaka 18 katika eneo la Hamugembe Bukoba,baada ya mtoto huyo kwenda kwake kumshitaki kijana mmoja ambaye jina lake halikupatikana aliyeaminika kutaka kumpiga, unyama gani huu jamani.Badala ya Katibu huyo kutoa msaada wa kumwepushia binti huyo kipigo toka kwa kijana huyo yeye akamzawadia kumbaka na kumsababishia maumivu makali yatima huyo masikini ya Mungu. Cha kusikitisha zaidi mpaka leo hii hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa kwa Katibu huyo mbakaji,Polisi wamejitetea kuwa hawakumtia mbaloni mapema kwa sababu taarifa za tukio hilo zilichelewa kuwafikia,mimi na wewe hatujui kama ni kweli hawakupata Taarifa. Sasa Taarifa wanazo tungoje na tuone je hatua zitachukuliwa au ndiyo siasa zitachukua nafasi huku yatima huyu akiumia?[/FONT]

  [FONT=&quot] Wale walio karibu na eneo hilo nawaombeni mjaribu kuhakikisha tatizo la yatima huyo linashugulikiwa na vyombo vya sheria na mtuhumiwa anaadhibiwa kwa unyama alioutenda.[/FONT]:juggle::A S 465:
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Hiyo kawaida yao angekuwa wa cdm ungewaona tu humu wachangiaji wangetiririka na makashfa na mbwembwe kibaoo.

  Yaani hawa ccm rushwa imewakaa sana unaweza ukaona mtoto huyo baada ya kushtaki malalamiko yake jidume hilo likaomba rushwa bint alivyo sema hana likaamua kumduu kisha ndipo ayashughulikie malalamiko yake.

  Hiki chama kina laana zaid ya shetan
   
 3. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sheria ichukuwe mkondo wake!
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  miaka 18 anabakwa nini sasa...kajichanua mwenyewe bana
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  mwigulu alibaka,makamba alibaka,.what's going on kwenye hiki chama?
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Chanzo cha habari hii nn? uthibitisho wake nn? kwamba tukio hilo limetokea?
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Miaka 18 ni mtoto?
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Baada ya viungo vya albino kuwa ngumu kuvipata wamepewa maasharti mapya ya kubaka kutoka kwa wataalam wao (vigagula)
   
 9. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama akikutwa na hatia, sheria itachukua mkondo wake. Hamna mtu aliye juu ya sheria.
   
 10. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umejuaje?
   
 11. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  acha kukurupuka wewe kama mtu awashwaye na masaburi kusoma hujui hata kufananisha rangi nako zero??

  Kwani chini ya miaka 18 ni miaka mingapi???

  Wadau hizi ndiyo type za viongozi wa ccm bila shaka wewe ni kimburumatari wa ccm
   
 12. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mkuu soma vizuri taarifa hiyo, inasema kuwa: Chini ya miaka 18!
   
 13. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Chini ya umri huo umeambiwa;
  Bora aadhibiwe akikutwa na hatia.
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Siwezi kumshangaa,
  Anafuata nyayo za Mzee Ma-Rope!!
   
 15. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bado kabinti hakajafikisha miaka 18 bana.
   
 16. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ina maana ni chama cha wabakaji,wezi na mafisadi?
   
 17. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nenda wapo redio yaliyotokea jana mkuu hata huko utapata maelezo mazuri kuhusiana hili suala.
   
 18. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni chini ya miaka kumi na nane bana ndiyo maana nikaandika mtoto.
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni kuwa wabakaji wengi tu huachiwa huru,hii inaumiza sana,hakutakiwa kuwa nje ya gereza sasa...pengine ashamwambukiza magonjwa,au mimba,kisaikolojia ndo kabisa kashamuharibu mtoto wa watu....sheria ina wenyewe inaowalenga, ila mbele za haki kwa Mungu kila mtu atapokea sawasawa na matendo yake. Imeniuma sana!
   
 20. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hawa ndio wanachafua sifa za chama chetu inatakiwa tuwe na kifungu cha sheria mahali kwamba hata ukituhumiwa tu unaachia ngazi YA UONGOZI sasa leo hii yuko arumeru anatutafutia kiongozi mwadilifu KAZI KWELI
   
Loading...