Benjamini Mkapa akigombea tena 2015 itakuwa safi sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benjamini Mkapa akigombea tena 2015 itakuwa safi sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Cool, Mar 8, 2012.

 1. C

  Cool Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ikiwezekana Benjamini Mkapa agombee tena 2015 itakuwa safi sana kwa jinsi hali ilivyo, Nawaza tu!
   
 2. S

  Samsindima Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli waswahili walinena 'Upendapo, Chongo huita kengeza'
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,080
  Trophy Points: 280
  au umesikia ya Vuldimir Putin!?
   
 4. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Kwa lipi? Tatizo sio Mkapa wala Kikwete ila tatizo ni CCM
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wapo watu wengi tu wazuri wa kuliongoza Taifa letu. Why Ben again? Kashfa nyingi zilizoibuliwa kipindi cha JK zilifanyika kipindi cha Ben.
   
 6. C

  Cool Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hata hivyo maisha yalikuwa yalikuwa very cheap kiasi kwamba hatukutambua kuwa tunaibiwa, Nafikiri wizi na usanii haukuwa kama ilivyo sasa.
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umesahau UKAPA kijana, au ulikuwa mdogo? Kama issue ni ukristo, mbona wakristo wapo wengi tu kwa nini yeye? halafu alishauza mali zote za umma, akirudi atauza watu akianza na wewe!
   
 8. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,542
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 180
  Laigwanan for 2015 .
   
 9. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Asingekuwa kaharibu sawa, wanasema inachukua muda sana kujenga imani kwa watu, ila kosa moja tu linakuondolea imani yote uliijenga kwa miaka mingi
   
 10. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Je, Katiba inaruhusu? BM ndie raisi alieweza/atakayeweza kuimudu hii nchi..
   
 11. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mirembe panakuhusu.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wa nini? Kwani hakuna wengine?
   
 13. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Bora ya mimi kuliko Ben.Duuuuu......usikumbuke bwana..Watu walisema nyerere alikuwa best sana..ila sasa utawala wake tunaujutia kutucheleweshea maendeleo
   
 14. k

  kidonge ki1 Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio uliemuona pekee hakuna wengne?y??
   
Loading...