siku ya wanawake na haki za kuoa au kuolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

siku ya wanawake na haki za kuoa au kuolewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtanganyika1, Mar 8, 2012.

 1. M

  Mtanganyika1 Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana Jf, ni hadithi na historia kila jamii huzipokea kutokana na wazazi na jamii watokayo, pamoja na kwamba tumekuwa katika mabadiliko ya kitamaduni kutokana na hiki kinacho itwa globalization na haki sawa kwa wote, LAKINI HILI LAKUDAI HAKI ZA WANAKE KUOLEWA NA WANAUME WENGI TUTAKUWA TUMEINGIA CHAKA na sizani kama maana ya gender equality inamaanisha hivyo kunauposhaji wa tafisiri ya hilo neno.source BBC jioni hii wanawake wa Uganda.
   
 2. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MMmh na baadaye watake usawa wa wanaume kubeba mimba kwani wanamkosoa Mungu kwa kutuumba tofauti.
   
 3. M

  Mtanganyika1 Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hawa watu naona wanakuja kwa kasi sana, kuna siku watataka fidia kwa yale waliowahi kutendeana wazee wetu, kwetu sisi ambao hatukuwepo.
   
Loading...