Hadithi za siku yawanake Duniani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hadithi za siku yawanake Duniani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtanganyika1, Mar 8, 2012.

 1. M

  Mtanganyika1 Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanamke ametoka kwa ubavu wa mwanaume hakutoka katika unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa, hakutoka katika kichwa cha mwanaume ajisifu eti yeye anakili sana, bali ametoka ubavuni ili akumbatiwe na alindwe tena ubavu wa kushoto ulio karibu na moyo ili apendwe ,aheshimiwe.Ila kwa kuwa ubavu umepinda mwanamke naye amepinda , asinyoshwe kwa nguvukwani atavunjika akanywe kwa upole naye atalainika.HAPO MPO WANAUME.
   
Loading...