Hatimaye walimu wapya Bariadi walipwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye walimu wapya Bariadi walipwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Landala, Mar 8, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Leo alhamisi walimu wapya waliopangwa wilaya ya Bariadi mkoani Shinyanga wamelipwa mishahara yao ya mwezi wa 2,walimu hao ambao wiki iliyopita waligoma na kuandamana hadi kwa mkurugenzi wa wilaya waliahidiwa kurudi leo siku ya alhamisi kuchukua haki xao..
   
 2. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hongereni walimu,huku tanga jiji bado tunatoa povu wanatuelekeza kwenda kula kwa walimu wakuu,
  dah aibu hii kwa serikali ya ccm,
   
 3. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  walimu wakuu ndo walio waajiri mpaka mkale kwao,mkomalieni mkurugenzi kama vp gomea ndo mtapewa haki zenu maana ndugu yangu nchi hii bila kugoma huwezi kuipata haki yako hata siku moja,haki haiji ukiwa umesimama haki inatafutwa..
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Chapeni kazi sasa, siyo mnakula mshiko harafu haooo mnawakimbia wanafunzi.
   
Loading...