Naomba kujua kama siku tano zimeisha na agizo limetimizwa au kauli zingine ni za kwenye TV tu.
ATOA SIKU TANO
Dk. Magufuli, alisema mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa kuvunja sheria za...
Je hili unaliona..!?pindi Dr. Slaa anaponusa sehemu ambapo kampen zinaendelea panatokea vurugu,kama siyo vijana kupigana basi wananchi kupigwa mabomu,mfano wa kwanza juzi MWANZA tumeshuhudia...
JF :poa
Wakuu mnisamehe kama nimekosea Jamvi.
Ninaomba kujua Hoteli za sisi wachovu pamoja na bei zake kwenye miji hii miwili: Lubumbashi na Lusaka.
Natanguliza asante.
Kuna mhariri mmoja wa michezo pale kampuni ya The Guardian Ltd anaitwa Fred Ogoti ambaye sasa inaelezwa kuwa anasimamia dawati la michezo la Guardian On Sunday, hajui michezo, hajui kiingereza...
Wakuu ndani na nje ya JF...heshima kwenu, nawaombeni tuchangie hoja kwa nini? umechukuliwa uamuzi wa kusafirisha gas kutoka Mtwara hadi Dar es salaam? nionavyo mimi gharama za kusafirisha hiyo Gas...
nimepita mitaa fulani ya kilimahewa, nimekuta vijana wakiendelea na ujenzi wa mitaro katika moja ya barabara za mitaani, nimekuta vijana wakiendelea na ujenzi wa mtaro katika barabara iliyokuwa na...
Juzi, Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilielezea kwa mara nyingine tena masikitiko yake kuhusiana na vitendo vya hujuma za makusudi dhidi ya miundombinu ya Uwanja wa...
NI UKWELI ULIO WAZI KWAMBA MAKAMPENI MENEJA WA CCM HUKO ARUMERU AKIWEMO MWIGULU WANATUMIA RUSHWA, FITINA, MAJUNGU,UONGO NA KILA AINA YA UCHAFU KUKIPAKA MATOPE CHAMA CHA WATU CHADEMA, KAMPENI HIZI...
Nimepokea taarifa za msiba wa mwanafunzi wa chuo cha ualimu nachingwea aitwaye anna tuli mwaka wa kwanza (grade iiia) kilichotokea huko wilayani ruangwa-lindi alikokuwa akifanya mazoezi (teaching...
Mkurugenzi wa tanesiko amekiri kuwa tanesco iko hoi wanatarijia kukopa ili wafanye ukarabati wa mitambo.
Bakuli lao la mkopo likifail tunarudi gizani.
Star tv 18/03/2012
Katika kile kinachoonekana ni kudhibiti wafanyakazi hewa,Serikali kupitia Wizara ya Utumshi wa umma imeanza uhakiki wa wafanyakazi wake.Kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,uhakiki umeanza asubuhi hii...
Katika hali isiyo ya kawaida wimbi la vijana wanaodurufu(copy) na kuuza CD`s,VCD`s na DVD`s mbalimbali hasa za maigizo,muziki na nyimbo lazidi kuongezeka siku hadi siku katika maeneo mbalimbali ya...
Mimi ni mtanzania na ninawajibika kwa nchi yangu kama inavyostahhili kwa raia mzalendo yoyote katika nchi yake ikiwa ni pamoja na kulipa kodi na kuheshimu sheria zote za nchi.kwa sababu hiyo...
Mawasiliano ya uhakika ni moja ya nyenzo muhimu katika viashiria vya maendeleo katika mataifa yote duniani. Kuongezeka kwa Teknolojia mpya na upatikanaji wa mawasiliano ya haraka kumerahisisha...
Wale wataalam wa biology ,kama hiv hushambulia seli hai na husababisha magonjwa mengi ,kwanini watalan wasitafute kidonge kitachotibu magonjwa yote yaletwayo na HIV