Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau nipo club 84 mida hii hapa 84. Naona kuna moto umedaka hapa cha kushangaza watu hawapo ingawa leo ni w end cjui kulikoni.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Katika jambo la kusikitisha, mwanafunzi wa Form Six ambaye bado alikuwa anasubiri matokeo yake ya kidato cha Sita, ameuliwa kikatili pamoja na Baba yake mzazi. Mzazi wa mwanafunzi huyu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nyumba za iliyokuwa THA na TRC a.k.a Gerezani Quorter zinavunjwa leo hii kupisha kituo cha mradi wa mabasi yaendayo haraka(DART Project).Zoezi hilo limekuja baada ya amri ya mahakama kutolewa na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Kariakoo adha ya maji kwa siku ya tano leo imekuwa kero isiyo mfano. Ingekuwa hakuna visima vya maji (vingi maji yake yana chumvi mno), kungezuka balaa. Magorofa yaliyobanana, wingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya wanandugu kazi kwenu mnaoishi pekeyenu pekeyenu! People of working age who live alone increase their risk of depression by up to 80% compared with people living in families, says a Finnish...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Mkuu wa wilaya Liwale ndugu Paul Chiwile amefariki katika nyumba ya wageni ya VISION mjini Lindi alipofikia, alipokuwa anahudhuria mkutano na wakuu wengine wa wilaya wa mkoa wa Lindi Paul chiwile...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
najua tupo kwenye msiba lakini naomba kujua kama naweza kujua elimu au uwezo wa member kwa kusoma post au comment zake' Nauliza kwa sababu mbili'moja kuna watu humu ndani nitawataja kama...
0 Reactions
107 Replies
10K Views
Habari za jioni hii wanandugu katika Utaofa. Kunahabari kwamba hawa wawekezaji wa kilimo cha maua wamekuwa wakifukuza Mvua Kwa kupuga milipuko maalumu ya kuzuia mvua kunyesha kwenye maeneo hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona niishauri serikali ya CCM iweze kusitisha maandalizi ya bunge la bajeti 2012/13 na sababu yangu kubwa ni kuona bajeti ya 2011/12 hadi sasa haijatekelezwa. Siyo halmashauri wala serikali...
0 Reactions
4 Replies
946 Views
MWALIMU wa Shule ya Msingi Ukombozi, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, Buntwa Brown Mwakabengele amejifungua watoto wanne katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Watoto hao, ambao...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bonge la sherehe kupita sherehe nyingine zote katika taasisi hiyo kuwahi kutokea, imefanyika siku ya Jumatano kufutia kuondolewa kwa aliyekuwa mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Godwin Ndosi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bandugu huvi huu mtandao wetu wa TIGO umepatwa na balaa gani? Mim simu yangu out going call an in comng call hazipiti kwa simu yangu unaweza ukashinda na vocher mkononi unaingiza tangia asubuhi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nguzo za gridi ya Taifa zinapokosa kazi, Hii ni kwa kuwa hakuna umeme .
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Yule jamaa anayetuhumiwa kuuwa watu saba huko Ufaransa amekufa baada ya kujirusha from the window wakati wa mapambano makali against police. The man had a bullet wound in his head. Three police...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Facebook has made made changes to their Status Update System which is designed to get rid of all ambiguity and confusion from Account Holders' Profiles. If an Account Holder changes their status...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wapendwa tunaomba anaye fahamu mradi huo utapita njia/sehemu gani za Dar atuhabarishe. Naona wanabomoa gerezani, hiyo barabara itapita wapi kuja mpaka gerezani. Kuuliza si ujinga.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Kwa wale ambao hawamjui Baba yake mwenyekiti (Kasesela) mpaka anafariki alikuwa ni kizito pale STAMICO Upanga. This is how a "defacto monarchy" of Tanzania works. Hongera sana Kasesera, acha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tangazo la Sharo na Baro linaonyesha kuwa mwanamke anaweza kuwa na wapenzi wawili na akamchagua mmoja, hii inatoa justification kwa wanawake kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja, ni hatari kwa tamaduni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa na msikilizaji wa kipindi cha Morning magic kinachorushwa kila siku za wiki kuanzia saa kuminambili hasubuhi mpaka saa tatu. kilicho nishangaza leo ni jinsi mtangazaji...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Back
Top Bottom