Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tangazo la Sharo na Baro linaonyesha kuwa mwanamke anaweza kuwa na wapenzi wawili na akamchagua mmoja, hii inatoa justification kwa wanawake kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja, ni hatari kwa tamaduni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa na msikilizaji wa kipindi cha Morning magic kinachorushwa kila siku za wiki kuanzia saa kuminambili hasubuhi mpaka saa tatu. kilicho nishangaza leo ni jinsi mtangazaji...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Wapendwa wana JF nilikwama kwenye Foleni ya Magari Maeneo ya Africana kuanzia saa 7 na nusu na ndio nimefanikiwa kufika Boko muda huu baada ya kupita BODA KWA BODA ile inayopita Kilongawima...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu jamaa mwanzoni nilidhani ni ugeni kwenye kazi lakini nimegundua hafundishiki. Jamaa anasoma kichwa cha habari kwenye gazeti moja, then akishika magazeti mengine anasema habari ndo zilezile...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Tanzania imegeuka shamba la bibi ambapo kila ngedere anaweza kwenda kula mahindi. Hakuna ubishi kuwa kwa sasa Tanzania ni nchi yenye huduma aghali na mbovu za simu katika Afrika. Simu zetu hazina...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama mambo ya kijamii yanatokana na kutumia brain, je brain ya mwanamke na mwanaume ni tofauti - yaani kuna some areas hazifanani? Kama ndio, je huu usawa utafikiwa kweli?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Imekuwa ni tabia ya kawaida kwa watu kugombania kupanda daladala na sijawahi kusikia Serikali au Taasisi yeyote ile kuliwekea utaratibu na msimamo jambo hili. Watu wamekuwa wakiibiwa, kuumizwa na...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakubwa mpaka muda huu naingia hapa jamvin ifakara tuna ck tano baadhi ya maeneo umeme hamna transfoma ambalo ni kubwa kulko yote limeungua na limesababisha mitaa kama jongo.v /sitini a, v/sitin b...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wizara ya Afya kupitia Mamlaka ya Chakula na Dawa, wanaendelea na zoezi la ukaguzi wa maduka yanayouza dawa za binadamu nchi nzima. Tumeona juzi maduka kadhaa yakifungwa kufuatia kuendeshwa bila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Great thinker Watanzania hivi tumelogwa tunapenda starehe kuliko kazi hapa napopita nakutana na vijana mbaya zaidi ni karibu kila mtaa bapopita kufika nakoishi vigenge vya vijana huvikosi cha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
huu mtandao wa airtel unaweza kutufukuzisha kazi sie tulioajiriwa na tunategemea sana mawasiliano ya simu ktk kazi zetu za kila siku, kwa sasa ni kawaida kwa airtel unapiga simu au unapigiwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nishuhudia kazi nzuri inayofanywa na Sam Maela wa ITV, nimekumbuka Jerry na habari zake za uchunguzi. Kwa anayefahamu anijuze aliko na kama aliendelea na mkataba wake TBC.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Basi lenye jina skyline lapata ajali maeneo ya mbezi-in mbele kidogo ya kituo kipya cha mbezi mwisho, basi hilo lililokua linatokea dsm kwenda mkoani limepata ajali na kupinduka mtaroni bada ya ku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jf naomba tukumbushane kwa wale tuliokuwepo enzi hizo, na kwa faida ya wanetu wa sasa, kinachonifanya nisisahau kikubwa kuliko vyote kuna kanga zilikuwa zinaitwa teleza za polister nilikuwa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wanajamvi,kweli nahitaji namba ya simu ya mkononi ya afisa habari wa Tanesco bi Badra Masoud!Kama angekuwa anasoma hii thread,shida yangu ni kuwa; Nilitoa taarifa ya kuanguka kwa nguzo ya umeme...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeona pikipiki(boda boda) zaidi ya mia tano hapo nje ya hospitali ya mwananyamala mwenye habari zaidi atujuze. Mm nimepita na gari nimeshindwa kusimama sababu kuna watu wengi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
katika hali isiyo kuwa ya Kawaida Polisi 5 wametinga Makumira Chuo na pira kuwa chukua Vijana wa LLB 2 wapato watano kwa kosa linalo husianishwa na mambo ya Kampeni Arumeru.Juzi usiku kada huyo wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wanajf embu nisaidieni,kwenye basi tupo watu 7 toka dar,gari inachoma mafuta,sasa najiuliza huyu tajiri wa akamba anagain chochote?au anategemea abiria wa arusha kenya?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana jf nisaidieni frequence na symbol rate za dishi za tbc,itv,star tv na chanel ten, nina miez 3 sijaangalia tv naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Back
Top Bottom