Club 84 Dodoma yaungua moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Club 84 Dodoma yaungua moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malolella, Mar 23, 2012.

 1. M

  Malolella JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wadau nipo club 84 mida hii hapa 84. Naona kuna moto umedaka hapa cha kushangaza watu hawapo ingawa leo ni w end cjui kulikoni.
   
 2. p

  papillon Senior Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watakuwa wameenda pale maisha club. U serios? Yule mzee wa kichaga ataliaje. Japo tuletee picha
   
 3. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kiwanja cha mpaka wabunge hicho na watokao cbe, udom na mipango.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Fedha za dhuruma hizo!
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nishakula maisha sana hapo, we moto hebu zimika tuachie kijiwe cha kukamatia totoz tukienda makao makuu
   
 6. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  huo ukumbi nimeuaga november last yr nilipokuwa udom salama kabisa,zicje zikawa hujuma za maisha club n' club laziz
   
 7. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  imeungua yote!? Makanisa ya mapepo yapungue!!
   
 8. M

  Malolella JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli mmiliki wa ukumbi huu kathibitisha kuwa alianza kujenga ukumbi na Mungu na atamaliza na Mungu. Fire extinguisher alizonazo zimemsaidia kuzima moto. Chanzo ilikuwa ni short ya umeme, hivi sasa mafundi wamerekebisha hali inaelekea kuwa shwari.
   
Loading...