Gerezani kunavunjwa

Kiroroma

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
370
114
Nyumba za iliyokuwa THA na TRC a.k.a Gerezani Quorter zinavunjwa leo hii kupisha kituo cha mradi wa mabasi yaendayo haraka(DART Project).Zoezi hilo limekuja baada ya amri ya mahakama kutolewa na uongozi wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuwatangazia wakaazi hao kuhama mara moja. Kwa wale waluoko maeneo ya hapo Gerezani mtakuwa mnawaona Yono Auction Mart wakiranda randa eneo la kazi tayari kwa kazi.
 
Utaona bado kuna watu waling'ang'ania kuishi humo humo wanageuka kuw wakimbizi ndani ya nchi yao
 
wengine wanalia coz walipewa notes ya masaa matatu. kuanzia saa sita usiku hadi saa tisa. huu ni ukatili. kwanini wasingewapa mda wa kutosha wa kuhamisha vitu vyao? hapo wamebolewa haraka lakini patakaa mwaka bila kujengwa kama pale magomeni(migomigo).
 
Hao jamaa wala siwaonei huruma, walishalipwa fidia wakaila kisha wanaenda mahakamani.
Tangia mwanzo waliuziwa hizo nyumba lakini sio plot, na wakapewa sharti kutofanya ujenzi wa ziada. Na hao wanasheria waliokula hela yao matapeli wakubwa!
 
kama walishachukuaga chao mapema, hapo ni sawa tu maana mengine wabongo tunajitakia. Mfano hebu angalia zoezi la kuhakiki wateja wa benki, tangazo lilitoka mwaka mmoja ulopita watu wakauchuna hadi majuzi ilipofika deadline njemba zinadai muda haukutosha, sisi wabongo!!!!!!!!!
 
Hao jamaa wala siwaonei huruma, walishalipwa fidia wakaila kisha wanaenda mahakamani.
Tangia mwanzo waliuziwa hizo nyumba lakini sio plot, na wakapewa sharti kutofanya ujenzi wa ziada. Na hao wanasheria waliokula hela yao matapeli wakubwa!

Kati ya fani za ubabaishaji sheria ni mojawapo hapa duniani, na bongo ndo mbaya zaidi. Mtu anaota kitambia kwa maisha ya ujanja ujanja na kuwadhulumu watu huku akijua kesi haina kushinda!
 
Hao jamaa wala siwaonei huruma, walishalipwa fidia wakaila kisha wanaenda mahakamani.
Tangia mwanzo waliuziwa hizo nyumba lakini sio plot, na wakapewa sharti kutofanya ujenzi wa ziada. Na hao wanasheria waliokula hela yao matapeli wakubwa!

Naomba kukuunga nkono nkuu!

Hawa jamaa walishalipwa tangu 2007, leo ni miaka 5, yaani tunarudishana nyuma wenyewe halafu tunadai ati tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji hivi hivi, lazima watu waumie ili wengine wengi wafaidike. Kama unajijua upo kwenye eneo lililolengwa kwa ajili ya mradi fulani, ni bora ukakubaliana na hali hiyo na kujitoa mapema kuliko kuja kuadhirika.
 
Huku Mamwbepande utasikia mtoto wa kigogo amenunua heka 1500 ili apate maegesho ya magari yake tunatakiwa kuhama na fidia amelipa shs 15000/=Tsh hayo nimaendeleo tunayahitaji sana lkn kwanini awe mtoto wa kigogo
 
Poleni...yaelekea sirikali imewaingiza mkenge hawa watu wa hizi nyumba maana leo nimesikia clouds Gerald Hando akimuhoji mwenyekiti wa wakazi wanadai kesi ilikuwa bado iko mahakamani na malipo yalifanywa kwa baadhi yao na kuna wengine wengi hawajalipwa akiwemo yule dada wa "heka heka Cloud FM"..
 
wale hawastaili kulia ndomana unao zoezi limeenda vzuri mana m2 anaona afanye fujo kwa lipi waliuziwa 5m na wengine awajamaliza deni alafu unakuja kulipwa 19m wale wenye frem wote 3.5m japo awakuwa halali mana awakuruhucwa kujenga walipotaka kushitaki mara ya kwanza waliitwa wakaambiwa wacshitaki wapewe 35m wakakataa wakaona watapata nyingi zaidi wakienda mahakamani wakaponda pesa leo hii wameumbuka wengi mana pesa walishatumia
 
wale hawastaili kulia ndomana unao zoezi limeenda vzuri mana m2 anaona afanye fujo kwa lipi waliuziwa 5m na wengine awajamaliza deni alafu unakuja kulipwa 19m wale wenye frem wote 3.5m japo awakuwa halali mana awakuruhucwa kujenga walipotaka kushitaki mara ya kwanza waliitwa wakaambiwa

wacshitaki wapewe 35m wakakataa wakaona watapata nyingi zaidi wakienda mahakamani wakaponda pesa leo hii wameumbuka wengi mana pesa walishatumia

Kazi imefanyika hata kama wameenda mahakamani haisaidii tena.Biashara ya Mvungi na wenzake kwishine.
Walie tu sina hamu na mijitu isiyopenda maendeleo kazi kujenga hoja za kuikomoa serikali.Mkataba wa ujenzi ulisainiwa mwaka jana mwezi Desemba.Ujenzi utaanza mara moja
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom