Wafanyakazi taasisi ya chakula na lishe wafanya bonge la sherehe wafurahia mkurugenzi wao kuondolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi taasisi ya chakula na lishe wafanya bonge la sherehe wafurahia mkurugenzi wao kuondolewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by maluluma, Mar 23, 2012.

 1. m

  maluluma Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bonge la sherehe kupita sherehe nyingine zote katika taasisi hiyo kuwahi kutokea, imefanyika siku ya Jumatano kufutia kuondolewa kwa aliyekuwa mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Godwin Ndosi. Mara baada ya kutangaza rasmi kuwa anastafu siku ya ijumaa tarehe 16/3/12 shamra shamra zilianza mara moja.

  Wafanayakazi kwa haraka walikutana eneo moja makumbusho ktk baa moja. Halafu ikafuatiwa na michango iliyochangwa kwa haraka kuliko michango yoyote ile iliyowahi kuchangwa hapo taasisi na kufanikisha sherehe hiyo yenye lengo la kufurahia kuondolewa kwa mkurugenzi huyo iliyofanyika jumatano tarehe 21/3/12.

  Kitu cha kushangaza sherehe ilijumuisha wafanyakazi waliopo kazini , waliostaafu na walioacha kazi. Hali haijawahi kutokea. Mkurugenzi huyo aliondolewa na wizara kwasababu alikuwa hataki kustaafu aling'ang'ania madaraka. Pia alikuwa hapendwi sana na wafanyakazi wengi kwasababu ya udikteta kufinya haki za wafanyakazi, upendeleo, unyanyasaji, ubadhilifu nA ufisadi na mambo mengine mengi yasiyopendeza.
   
 2. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Munasema amestaafu kwa umri, then munasema ameondolewa na wizara, which is which?
   
 3. R

  Real Masai Senior Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mr Ndosi alishafikia muda wa kustaafu kufanya kazi Serikalini.Ninavyojua, kama muda wa hiari ukifika unatakiwa kustaafu, then If u'r a potential person, normally The G'vt gives you a contract but will not exceed 5 yrs.Baada ya hapo unastaafishwa kwa lazima.Huyu bwana alikuwa anatafuta kupewa mkataba huku akujua kwamba amearibu Taasisi.Kwa ujumla katka kipindi cha uongozi wake, amefanya taasisi ikafa kiutendaji kabisaaaaa.Pia uhusiano wake na wafanyakazi wa Taasisi haukuwa mzuri hata kidogo.Swaiba wake alikuwa PS mama Nyoni sasa na yeye rungu lishamkumba ndio maana hata mkataba hajapewa.
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  tupeni tano madaktari kwa kufanikisha hilo. Aafu nimekumbuka,nyie ndo mlikuwa mnachangia fwedha za kukodi ukumbi! Maana tulikuwa tunaambiwa kuna watu kutoka wizarani wamechangia ila hawatatajwa majina,tupongezane basi.!
   
 5. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Namfahamu huyu jamaa anajisikia sana,kuna siku nilimuona sinza kwa mama mmoja shirima we acha tu,alivyokuwa anajisikia hadi kero
   
Loading...