Magic fm ni redio ya udaku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magic fm ni redio ya udaku?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MBUFYA, Mar 23, 2012.

 1. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mimi ni mpenzi mkubwa na msikilizaji wa kipindi cha Morning magic kinachorushwa kila siku za wiki kuanzia saa kuminambili hasubuhi mpaka saa tatu.
  kilicho nishangaza leo ni jinsi mtangazaji alivyo kuwa akibagua sms kutoka page ya fb,sms ambazo za msingi na wasikilizaji wametumia muda na kuandika kuchangia hoja iliyo kuwa hewani kuhusu RAIS LEGELEGE,. wachangiaji kama watatu hivi sms zao hazijasomwa, ngoja niwa in box kama wataniruhusu kuandika majina yao hapa,
  NAWASILISHA.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  radio ni media ambayo ni rahisi kuattract attention ya msikilzaji
  Tatizo ni pale presenters wanapofikiri mawazo yao ndio sahihi kuliko wasikilizaji
   
 3. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sikuiz hata ZEMBWELA naye ni mtangazaji, na anajitia anajua kuchambua mada muhimu kabisa. LMAO
   
Loading...