Title of the invention: Procuc System
The invention falls under: Business studies
Name of the inventor: Marco Shigele
DESCRIPTION
Introduction
Procuc System is the...
naona kumekuwa mada nyingi dhidi ya warabu ,mwangalie mfalme wao kabila lake ni al. busaid. kwa waliowahi kuishi kigoma ujiji kuna sehem inaitwa busaid na huko ndiko walipo toka mababu zake...
Ndugu Wanachama napenda kuwajulisha kuwa mwanachama mwenzetu X-paster amefiwa na mama yake.
إِنَّا لِلّهِ...
Wengi wamezoea kusikia siasa za hawa wanaoitwa viongozi wa tume
tumesikia mengi sana kutoka kwa mh makame ambae mpaka anaondoka
akuna alichokifanya zaidi ya kushabikia upande mmoja na kuondoka...
SIKU chache baada ya kubainika kuwepo kwa upotevu wa mabilioni ya shilingi katika Mpango
wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (BPS), madudu zaidi yanadaiwa kugundulika katika utendaji wa Kamati ya...
Kuna kundi la wana jf wapya na wakongwe wanaoanzisha thread mara kwa mara kukizushia chama cha chadema na viongozi wake mambo ya uongo, mfano wa thred hizo ni kama "MPASUKO NDANI YA CHADEMA" na...
NDUGU MWANAJF,PATA PICHA MUUMINI WA DINI YAKO ANAPANDA JUKWANI ANAANZA KUTOA HOJA ZA UONGO,MATUSI,KASHIFA,KUGAWA JAMII VIPANDEVIPANDE HALAFU KESHO ANAKWENDA MADHABAHUNI AKIJIITA YEYE SI MWONGO...
Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba basi la kampuni ya super najimunisa lililokuwa likisafiri kutoka dar es salaam kuelekea mwanza linawaka moto muda huu maeneo ya Gairo. Taarifa zaidi...
Nimekuwa nikifuatilia hawa akina Masanja, Joti, Mpoki na wenzie mbona marudio marudio ya nyuma, hawana jipya? Kama leo wametoa ya Gongo La mboto waloitoa mwaka jana na mengine mengi yalopita! Hawa...
The United States of America has sponsored Tanzania Police Force (TPF) over 40m/- law enforcement equipment.
A statement availed to this paper from the US embassy in Dar es Salaam yesterday said...
vyanzo vya taarifa kutoka kgm zinasema chadema wamempa red cad jaji anaesikiliza kesi iyo.hatuwa iyo imefkia ni baada ya jaji anaesikiliza kesi iyo kukataa ushahidi wa video ambao angeutowa ali...
Watu,
Hapa JF sharia hazifuatwi hasa pale ambapo mtu wanaemtaka anaguswa unakuta Mods wanatoa thread au wanaihamisha.Huko nyuma nilishawahi kusema huyu jama hana tofauti na kikwete kwa visasi...
Wana jf nisaidieni nataka kununua pikipiki najishauri ninunue mpya hizi za siku hizi kama sun lg,toyo nk japo nazo bei zake sijajua.au ninunue used mfano honda za kikapu au xl.pia nasikia kunj...
amealikwa katika mkutano utakaojadili, "machafuko yanayoendelea ktk nchi za kiarabu na athari zake katika nchi nyingine" bado anaendelea na hasa anaelezea hali ya uchumi wa Tanzania umaskini unao...
Wakuu naomba msaada wenu juu ya magodoro ni wapi ntapata godoro zuri original hapa dar.
Ama ni godoro aina gani ndiyo zuri lenye ubora .
Nilipokuwa mkoani nilikuwa natumia godoro la dodoma na...
Ikipita siku moja siku ya pili wanakata umeme kwa masaa mawli kuanzia saa mbilia mpka saa nne nashindwa kuelewa kama ni mgao ni nani huyu anayepata umeme kwa masaa mawili tu? One day on another...
Wana jf nataka kukopa nmb mil tatu-basic yangu ni 422000 take home ni 371000 .je riba ni kiasi gani na kila mwezi ntakatwa shilingi ngapi kwa miezi 36!najua watu wa benki mpo jf
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.