Mwanafunzi, Baba yake wauliwa kikatili na BodaBoda Bunju "A" Shule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanafunzi, Baba yake wauliwa kikatili na BodaBoda Bunju "A" Shule

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgt software, Mar 22, 2012.

 1. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  Katika jambo la kusikitisha, mwanafunzi wa Form Six ambaye bado alikuwa anasubiri matokeo yake ya kidato cha Sita, ameuliwa kikatili pamoja na Baba yake mzazi. Mzazi wa mwanafunzi huyu, inasemekana kuwa alikuwa mlinzi wa shamba la tajiri mmoja jijini mwenye kiwanja kikubwa hapa bunju, siku ya tukio, kabla ya kuuwawa, mtoto na Baba yake walichimba mtoro mkubwa kuzuia boda boda (wapanda pikipiki) ili wasikatishe kwenye kiwanja chao , ambacho kilisha tenganishwa na wapanda piki piki na watembeao kwa miguu, awali kiwanja hicho kilikuwa akina bara bara za kukatisha jambo ambalo tajiri aliwaomba kuziba bara bara hiyo ya muda ili warudia ya zamali iliyoelekezwa. Boda boda bila kujua kuwa kuna shimo kubwa uku akiwa amebeba mteja , walisikia wakidumbukia kwenye shimo kubwa, ndipo walipoanza kupiga makelele ya mwizi ambaye kawatega kwenye shimo, kwa kuwa bodaboda wana umoja walijulishana kwa simu haraka haraka wakaja eneo la tukio, jamaa yule aliyechimba akajitokeza kuwa sio mwizi bali ameziba hapo makusudi kuzuia kukatisha shamba hilo, hapo boda boda hawakumchelewesha , wakampa kibano kikali kilichopelekea kufa pale pale, baada ya kuuliwa walimchoma macho yote kwa bisibisi, mtoto kujitokeza kuokoa baba yake naye kala mapanga kazaa, huyu alifia hospitalini. Mpaka sasa ninaingia mitambani washakamatwa vijana watatu, sasa hivi bunju a hakuna pikipiki hata moja wote wamejificha.
  Cha kushangaza hakuna chombo chochote kilicholipoti tukio hili hatari
   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  poleni sana,hawa boda boda wanaboa sana,kofia za pikipik kwanza chafu sana,pia awaogi wala kufua nguo tabu tupu
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni noma, kama una kigari chako kaa mbali nao. Atakuchomekea kama wanavyoita Bongo, ukimgonga mmoja wanakuja kwa umoja wao hapo utapona tu kama utakuwa na ''Mhe. Rage au Malima mdogo" vinginevyo wewe na gari lako mtapata kipigo cha mbwa mwizi.
   
 4. H

  Hydrocephalus Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo hivi sasa hii nchi haina sheria, kila mmoja anafanya vile anavyotaka. Huu utamaduni wa watu kuchukua sheria mkononi ndio msingi wa mambo yote haya na mengine kama hayo.
  Lakini pia ugumu wa maisha na misongo huwafanya watu wawe na chuki isiyokuwa na msingi kwa binadamu mwenzake, na kumfanya kuwa rahisi sana kufanya kitendo cha kikatili kama hiki kwa kosa dogo.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Thus way I'm alwayz straped.
   
 6. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  hawa waendesha piki piki wahuni sana,cjui kwanini serikali isiweke sheria kali kuwabana ilia angalau wawe na adabu. Wengi walevi na wanatumia madawa ya kulevya. Inabidi pia serikali izuie huu umoja wao usije jeuka mungiki
   
 7. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hao bodaboda wengi ni vibaka,wavuta bangina madawa waliopanda gredi!!! RIP baba na mtoto wake!
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  RIP waliokufa wote
   
 9. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanaboa sana,wananuka KIKWAPA!LOL!
   
 10. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280

  RIP baba na Mtoto.

  Wajameni tuangalie tatizo lililofikisha hapa ni nini????

  Kwa mtazamo wangu ni kwamba ilipaswa Barabara ifungwe kwa either kuweka uzio / miba / au kulima eneo hilo lenye njia bandia.

  Unapochimba shimo, na hakuna hakuna ishara yoyote ya kuashiria kuwa mbele kuna shimo / njia imezibwa, inakuwa ni hatari sana. Na mleta mada hajatuambia ilikuwa ni muda gani; kwani bila shaka ilikuwa ni jioni kukiwa na giza ndio maana walitumbukia na pikipiki lao. kama ingelikuwa mchana wasingetumbukia.

  Na jinsi ilivyo ina maana njia ya barabara kuna mashimo makubwa kiasi hata waenda kwa miguu / pikipiki / baiskeli haziwezi kupita ndio maana wanapita shambani.

  Serikali ya Mtaa na uongozi wa Kata ya Bunju wanawajibika kwa hili kwani kuna eneo ambalo njia haipitiki kule bunju hasa kipindi hiki cha Mvua, tena ile njia inayoenda Maweni / njia ya Kinondo na kutwa serikali inachukua ushuru kwa magari yanayoenda kupakia mawe na kifusi lakini kufanyia ukarabati barabara hawawezi wanakula pesa tu.

  HiVYO TUANGALIE NA CHANZO CH TATIZO, ILI TUKEMEE HAPA BUNGENI JF, NA HUENDA TATIZO HILI HALITORUDIA TENA.  RIP MAREHEMu.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 11. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa ni muda wa saa mbili usiku, ni kweli kwamba bodaboda wanauliwa sana, tena kwa ukatili mkubwa, huenda hata marehemu alikuwa na kosa kwani angeanza na uzio mkubwa na kuuweka mapema sana, ili uonekane sio kuwashutukiza, si unajua walinzi nao kwa kujifanya wababe wanapoambiwa na bosi wao wanafanya hivyo hivyo bilamkutumia akili.
   
 12. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  kosa kubwa hapa ni kuhukumu mtu bila vidhibiti, kama walifanikiwa kumkamata kwa nini wasimpeleke kituoni badala ya kumsababishia umauti?
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa na uwezo, ningepiga marufuku hizi pikipiki kubeba abiria. Nimeshaona maeneo kadhaa wakifanya fujo kubwa kuwatetea wenzao, bila hata kujari sheria wala nani ana makosa gani.
   
 14. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Boda boda ni hatari sana na tusipoangalia inaweza kuwa genge kubwa la wahuni mithili ya mungiki wa kenya.
   
 15. aye

  aye JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  bodaboda wataleta madhara sana mbeleni mana wanaumoja wao ambao ni uhuni mtupu bora serikali iliangalie ili mapema
   
 16. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Yaani wao wanafanya makosa kisha ukisema wanaona kuwa UNAWAONEA!!!!

  = Wanasababisha ajali, - ukisema wataona wanaonewa.
  = Wanaendesha mwendo wa kasi - ukisema wataona wananonewa.
  = Wanaendesha pasipo kuwa na leseni - Ukisema wataona wanaonewa.
  = Vijana wadogo sana wanafanya bishara ya BodaBoda - Ukisema wataona wanaonewa.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  RIP baba na mwana..
   
 18. P

  Pprosy New Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inauma saaana kesi kama hii maana itajumuisha waliomo na wasiokuwemo,,,,,,imagine aliyekuwa amebebwa kwny hiyo pikipiki nae katupwa rumande(ni kwel he is my cousin).......
   
 19. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  sito acha kuilaumu serikali yetu kamwe bila shaka wanahusika kwa hili kwa 100%.

  RIP marehemu wote bila shaka njaa na ugumu wa life umepelekea haya yote.
   
Loading...