Matangazo ya Biashara ya Mitandao ya Simu yanachochea ngono

african2010

Member
Mar 31, 2010
98
12
Tangazo la Sharo na Baro linaonyesha kuwa mwanamke anaweza kuwa na wapenzi wawili na akamchagua mmoja, hii inatoa justification kwa wanawake kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja, ni hatari kwa tamaduni zetu na afya zetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom