Naweza kujua elimu ya mtu kupitia post zake?

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
najua tupo kwenye msiba lakini naomba kujua kama naweza kujua elimu au uwezo wa member kwa kusoma post au comment zake'
Nauliza kwa sababu mbili'moja kuna watu humu ndani nitawataja kama nikiruhusiwa'ningependa kuwajua elimu zao'pili mimi ni mgeni nataka nijipange kabla sijajulikana udhaifu wangu'asanteni!
 
Kabisa! Si kiwango cha elimu tu unaweza ku-predict hata umri wa mchangiaji kutokana na uchangiaje wake japo unapaswa kuwa makini!

Ila kwa wale wanaotumwa kutumikia kikundi cha watu fulani hata ukiwa umelewa utawajua tu.
 
mie ni kidato cha tano drop out,ila nimepanga nifoji niingie chuo.ila sioni kuna ulazima sana kwa sababu JF ni shule tosha lol
 
Nia yangu ni kujua just for funny'rejao ndio mmoja wao nataka kujua wakifuatia
Nyani ngabu'faiza foxy'na wengine nitataja baadae

Rejao ni kilaza elimu yake ni form four Taqwa Muslim secondary ongezea na madrasa
 
naona watu wameanza kujieleza kuh viwango vyao vya elimu, I thought hoja ilikuwa kama anaweza kutambua elimu ya mtu kupitia post zake, kwa upande wangu nasema unaweza kkutambua kiwango cha uelewa wa mtu kupitia post zake, ila kwa kujua kiwango cha elimu sina hakika kwa sababu elimu na uelewa/ufahamu ni vitu tofauti ingawa kuna ukweli mkubwa kwamba elimu humsaidia mtu/ kumuongezea / kupanua ufahamu wa mtu na mara nyingi waliopata elimu ya darasani huwa na uelewa mpana kulinganisha na wasiopata nafasi hiyo. vpi unataka kuwatumia katika shughuli zako au???
 
Back
Top Bottom