Utafiti uliofanywa na taasisi ya afya ya John Hopkins toka 2007
mpaka 2011 unaonyesha malaya toka nchi ya kenya wanaongoza kwa maambukizi ya HIV Africa.
wadau
nahitaji nipatiwe elimu kuhusu kutoa mzigo bandari ya DSM
Nina mzigo empty bottles unao elekea bandari ya DSM,tatizo nililo nalo ni kwamba
1,sijui TRA huwa wanatoza sh ngapi kwa mzigo kama...
Wakuu,naomba mnijuze ili,Mtu akiazisha Blog,kituo cha tv n.k.anapataje faida?au kuna ruzuku yoyote anayoipata?asante kwa kuchangia kwa u serious.Nimeelewa
Maji sio anasa km baadhi ya magamba wanavyodhani! nashindwa kuelewa kua huduma muhimu zinatumika kisiasa ata ktk taasisi muhimu km za umeme na maji...mfano hapa musoma mjini leo ni siku ya 8 maji...
Pamoja na mbwembwe nyingi kwenye ufunguzi na ahadi kemkem kwamba tutaona tuliyokuwa tunahitaji, mbona hakuna jipya zaidi ya sinema?
Kwanza local tv station ni moja tu! -tbc, afadhali analogi...
Katika manispaa ya musoma,mamlaka ya maji imekuwa ni kero na waiz kupita kias,wanakata maj baadh ya maeneo hata kwa muda wa siku 7 na wakirudisha ni usiku wa manane na ifikapo saa 10 usiku...
Mwenyekiti wa CUF profesa Ibrahim Lipumba amatoa wito kwa Serikali kwamba kutokana na rasilimali nyingi zilizoko nchini basi kila mwananchi apewe tsh 450,000 kwa mwaka.
Chanzo:magazeti ya leo.
Nimeibamba hii kwenye account ya Makamba Fesibuku. Imekaaje wadau? Hizi badge huwa wanapewa viongozi na taasisi kubwa katika mtandao wa Twitter. Naona jamaa kapata kabla hata ya CCM (ambao wako...
Leo mida yaa saa 7 mchana, mahakamani kisutu shauri ya kesi iliyofunguliwa na Joseph Kusaga (clouds entertainment) dhihi ya Mapacha ( Vinega). VINEGA wote na wapenda harakati za Anti virus, kama...
The Organization of Islamic
Cooperation(OIC) signed a
Memorandum of Understanding
with the US Agency for
International Aid (USAID) on
Thursday, 15 March 2012, at the White House in...
nashangaa watanzania tulivyowapole. ni siku ya tano jiji la dar halina maji, na wananchi wake kimya. ukipita muhimbili harufu inayosikika ni mbaya sana. sijui ni lini magonjwa ya mlipuko yataanza...
Naomba kusamehewa kwa kushindwa kwangu kulielewa jambo hili mwenyewe na hivyo kuamua kuwashirikisha Greater Thinkers ili kupata logic. Nimesikia na kushuhudia baadhi ya wakaazi wa maeneo husika...
Akubali kuwa kakosea yaishe.
Kukosea ni kawaida ya binadamu na ndio kujifunza.
Kwani mtu mzima akikosea si inaeleweka?
Sasa mlitakaje jamani? Mtu mzima yeyote awaye yule anaweza
kuona " mtu mzima...
Ule mradi wa mabasi yaendayo kasi huenda ukawasogeza wapigadebe karibu kabisa na Ikulu ya Magogoni.Hii inatokana na kuanza kwa ujenzi wa kituo cha mabasi hayo mbele tu ya geti la Ikulu upande wa...
Duu! Hiii inatsisha sana
MALAYA WA AFRIKA WANAONGOZA KWA HIV
NAIROBI, KENYA
WANAWAKE wa naofanya kazi ya umalaya katika nchi zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara, imebainika kuwa, wanaongoza...
Huyu bwana anafanya kazi kisanii sana kwenye gazeti la Guardian On Sunday kama mhariri wa michezo. Bahati mbaya sana lugha inampiga chenga na pia hajui bahari za michezo, ninasikia kwamba kabla ya...
Nimewahi kutembelea hotel kadhaa hapa TZ,
Kuna hotel ambazo zinajitahidi kuchangia pato la watanzania kwa kununua bidhaa za kitanzania kwa matumizi ya hotel zao, lakini serena hotels imekuwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.