Angalia watu wanaula kiulainiiii-Utawala wa Kifalme wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia watu wanaula kiulainiiii-Utawala wa Kifalme wa CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nelsweeter, Mar 23, 2012.

 1. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kasesela.jpg

  Kwa wale ambao hawamjui Baba yake mwenyekiti (Kasesela) mpaka anafariki alikuwa ni kizito pale STAMICO Upanga. This is how a "defacto monarchy" of Tanzania works.

  Hongera sana Kasesera, acha wengine tuendelee kukomaza vidole kwenye keyboard za computer kwa comment zetu hapa JF
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Kweli sasa nimeamini jipendekeze ili upendekezwe,....ndio maana huyu jamaa alikuwa amejivika jukumu la kujifanya ni msemaji wa serikali na CCM, kumbe wanajuwa wanachokifanya!! I see!......
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  tunawatakia mpunga mwema!
   
 4. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wale tu....ila huku kwenye tu dili vyetu wasituingili basi. sio kote kote wao tu
   
 5. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hahahaha! Kweli bana! Mi wakiniingilia kwenye tudili twangu, ntaua mtu!
   
Loading...