Anayetuhumiwa kuuwa watu Ufaransa amefariki

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
1,129
302
Yule jamaa anayetuhumiwa kuuwa watu saba huko Ufaransa amekufa baada ya kujirusha from the window wakati wa mapambano makali against police. The man had a bullet wound in his head. Three police officers were injured during the act. Source:BBC NEWS 1700 GMT+3 through RFA.
 
CNN wanasema ni polisi wawili wameumia na sio watatu.
Kila mtu ana wazimu wake ila amewashughulisha haswaa hao polisi, ingekuwa bongo sijui ingekuwaje!
 
Kapigwa risasi na Sniper wa Kifaransa asijipe ujiko eti kafa kwa kujirusha ghorofani. Kama yeye ni kidume alikuwa anaua wenzie mbona yeye mwenyewe alikuwa anaogopa kifo hadi anakimbia kwa kutorokea dirishani ili asiuawe? Al-Qaeda bana wanaua wenzao wakati wao wenyewe waoga wa kifo. Hata yule bosi wao Osama aliogopa kuuwawa!
 
Uko sahihi mkuu, ni kweli amepigwa risasi za kichwa na mdunguwaji wa polisi wa ufaransa.......ila heading ya mleta thread sidhani kama iko sahihi kusema huyu gaidi amefariki badala ya kusema ameuwawa!!
 
Sorry, it's true the person was killed by a bullet shot in his head. And this got him while in air after jumping off the window.
 
Okiona hivyo kuna kitu wanataka kuficha hapo. Kwani alikuwa hakamatiki akiwa hai? Mtasema hata Osama alikuwa hakamatiki akiwa hai.
.
 
Okiona hivyo kuna kitu wanataka kuficha hapo. Kwani alikuwa hakamatiki akiwa hai? Mtasema hata Osama alikuwa hakamatiki akiwa hai.
.
Kuna tabaka la kuwasadikisha huu ujinga wako lakini sio hapa JF.
 
Kapigwa risasi na Sniper wa Kifaransa asijipe ujiko eti kafa kwa kujirusha ghorofani. Kama yeye ni kidume alikuwa anaua wenzie mbona yeye mwenyewe alikuwa anaogopa kifo hadi anakimbia kwa kutorokea dirishani ili asiuawe? Al-Qaeda bana wanaua wenzao wakati wao wenyewe waoga wa kifo. Hata yule bosi wao Osama aliogopa kuuwawa!

Tunakipenda kukitamani kifo kama nyinyi mnavyopenda maisha! - Mullah Omar
 
Tunakipenda kukitamani kifo kama nyinyi mnavyopenda maisha! - Mullah Omar
Huyo mullah omar mpenda kifo mbona anaishi kwa kujificha, na wala hutasikia mtoto wala mjukuu wake kwenye mapigano wala kujilipua!!! Hata osama hakuruhusu watoto wala wajukuu licha ya wingi wao. Hapa mjinga ndo anaeliwa
 
Back
Top Bottom