Tigo kulikoni

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Bandugu huvi huu mtandao wetu wa TIGO umepatwa na balaa gani? Mim simu yangu out going call an in comng call hazipiti kwa simu yangu unaweza ukashinda na vocher mkononi unaingiza tangia asubuhi mpaka usiku baadhi ya maeneo ya DAR ishakuwa keloo kila wakti netwrk bussy ar no service wenzangu na nyinyi haya yamewakuta au mimi tu
 
Tatizo sio la leo tu na sio mim tu pengne nimesikia na watu watatu wawili wanasema hivyo na tatizo la mawasiliano kwa sis tunao kaa mbweni na kunduchi sio la leo kubwa tatizo linasemekana load ya watu ni kubwa mitambo yao inashindwa kuwaford nauliza kama ndo tatizo tigo haoni kama wameshindwa ushindani wafunge vilago lkn na hawa TCC wako wapi kuwashughurikia wababaishaji hawa kwa sasa niko zenji but i found the some problm nasema hivi sina chongo na tigo na tigo ndo mtandao wangu mwepesi kwngu lkn sas umenifika mwisho
 
Back
Top Bottom