Paul Chiwile Afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul Chiwile Afariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Megawatt B, Mar 23, 2012.

 1. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu wa wilaya Liwale ndugu Paul Chiwile amefariki katika nyumba ya wageni ya VISION mjini Lindi alipofikia, alipokuwa anahudhuria mkutano na wakuu wengine wa wilaya wa mkoa wa Lindi

  Paul chiwile amewahi fanya kazi chuo cha mipango na wizara ya maendeleo ya jamii

  Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi

  Amin

  Source: Radio One saa 6:12
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Oooh masikini Mwalimu Paul Chiwile.
  Alikuwa mwalimu wangu pale shule ya sekondari Kibaha miaka ya 1971-1976.
  He was a gentleman.
  Nimeenda kumuoana mwaka jana alipofiwa na mke wake aliyepata ajali kule Moshi.
  Mke wake vile vile alikuwa mwalimu wangu.
  Poleni sana watoto wa Mr & Mrs Paul Chiwile kwa kupoteza wazazi wote wawili in a span of one year, what tragedy.
  Bwana Mungu aliwatoa na sasa amewatwaa, Jina lake lihimidiwe.
  Amen
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,755
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  RIp Mwalimu Chiwile
   
Loading...