Ukosefu wa Mvua Maeneo yanye Mashamba ya Maua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukosefu wa Mvua Maeneo yanye Mashamba ya Maua.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzawahalisi, Mar 23, 2012.

 1. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Habari za jioni hii wanandugu katika Utaofa.
  Kunahabari kwamba hawa wawekezaji wa kilimo cha maua wamekuwa wakifukuza Mvua Kwa kupuga milipuko maalumu ya kuzuia mvua kunyesha kwenye maeneo hayo.
  Hii inapelekea wanachi wenye mashamba ya mazao mengine maeneo ya karibu na mashamba hayo kuathirika kwa kujkosa Mvua. Hii nimeikuta maeneo ya Arusha, leo jioni hii nikitoka maeneo ya chekereni nikukavu mpaka maeneo ya kona ya kiserian. Lakini nilipo fika Moshono kuja kigenge nimekuta mvua ya kutosha.
  Hali kama hii pia nimeisikia kwenye maeneo ya moshi chini sehemu zenye mashamba ya maua.
  Kama kunamdau anaufahamu zaidi wa swala hili afafanue zaidi. Hawa jamaa wanachajali ni faida zao tu bila ya kutazama athari zake kwa jamii.
   
Loading...