"Wanasiasa wenye uthubutu wa kuwadanganya wananchi hadharani hawaachi kuwahujumu wananchi wanapokuwa faraghani"
1.Hupenda kuwaadaa wananchi...."tell them what they wish to hear and not the...
UJUMBE wa Taasisi ya Mafunzo kwa Viongozi Serikalini na Watumishi wa Serikali za Mitaa (LOGODI) kutoka Korea, wapo nchini kushirikiana na Serikali kujenga uwezo wa watumishi hao.
Ujumbe wa watu...
Kufuatia kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila, chama cha NCCR Mageuzi sasa kinahaha kumwondoa kwenye ubunge baada ya kumshinikiza Spika Anna Makinda amwengua katika uwakilishi...
Kuna habari kwamba kuna basi la Buffalo linalofanya safari zake kutoka Dar es salaam kupitia Lindi, Mtwara Mpaka Tunduru lilikamatwa mwaka jana (2011) Masasi likiwa na Meno ya Tembo. Baada ya...
Ni ktk hifadhi ya serengeti, walikuwa ktk machimbo ya zamani na zana za kuchimbia na mawe yaloshachimbwa ktk viroba! Na gari la polisi! Source. Tbc taifa.
Haiwezekani kila siku picha ya kampeni ya ccm ni ile ile ya kaumati cha vijiwatu siku ya ufunguzi pale ngaresero.Tupeni hali halisi kwa sababu mwanza hawapigi kura hapa arumeru na kwa sababu iyo...
Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche alitoa kauli inayoashiria kuitisha UVCCM baada ya kujana wa cdm kukamatwa na kuteswa na wanaodhaniwa kuwa vijana wa ccm. "Tutakua wapole lakini hatutakua wanyonge...
Nimefuatilia vyombo vya habari vya marekani na nimegundua police wa usalama barabarani wako makini sana na makosa ya madereva walevi na hata kuongea na simu...hivi Tanzania ni lini traffiki wetu...
Tido muhando kuwa mkurugenzi mtendaji wa Mwananchi hapo ni kuikosoa serikali kuwa haikuwa sawa wakati inamfukuza TBC kisa yeye ni muwazi.....sasa hivi TBC vipindi upendeleo kibao hakuna ukweli...
Nimesoma gazeti la Annur. Mwanzo mpaka mwisho wanalaumu wakristo na Nyerere kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yao. Hivi nchi zenye waislam wengi kama Somalia, na huko uarabuni yana matatizo kwa...
Ugonjwa wa Kifua Kikuu bado ni tishio kubwa duniani. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon katika ujumbe wake wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kifua kikuu, ambayo kimataifa hufanyika...
Pamoja na kupongeza jitihada za Ujio wa FCS ambazo zimeibua utitiri wa NGOs nchini (kwa tamini yangu ya haraka, karibu kila kona utakuta kibao cha NGO) NAJIULIZA IWAPO KUNA TIJA KWA JAMII KWA...
Watu wasiojulikana wameishambulia sanamu mashuhuri kabisa katikati ya jiji la da-si-lamu. shambulizi hilo ambalo lengo lake halijafahamika limesababisha kuvunjika kwa singe ya bunduki ya kinyago...
Wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere, (MNMA) mjini hapa wamekuwa wakitishiwa maisha na watu wasiyojulikana kutokana na kuacha nywele na mabega wazi.
Wakizungumza na NIPASHE jana...
Ushirikina kitu kibaya. Unagundua nini ukiangalia picha hiyo hapo? Unaweza kuamini kuwa kuna watu na akili zao wanadhani eti malaika ameonekana kwenye mawingu? Kazi kwenu.
Hali tete imetawala Arumeru na kuzua kizaa zaa sehemu mbalimbali wakihusishwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na walimu ,wamelaumiwa na viongozi wa ccm kwa tabia ya wanafunzi hao wanapoona...
Sakata zima liko hivi, Jennipher Anthony (21) Mkazi wa Tabata jijini Dar pamoja na wifi yake Mgeni Tumaini (35) Machi 13, mwaka huu saa 9 usiku walinaswa na polisi maeneo ya Buguruni Kwa sokota...
wazungu wanasema "they are playing hard to get"..walikuja wengi tu kama tlp,cuf,nccr mageuzi.....sasa leo watanzania tunafikiri chadema ndo chama chenye uchungu na nchi..hivi ukimkaribisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.