Mkuu polisi(w) na afisa usalama(t) wabambwa wakichimba madini!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Ni ktk hifadhi ya serengeti, walikuwa ktk machimbo ya zamani na zana za kuchimbia na mawe yaloshachimbwa ktk viroba! Na gari la polisi! Source. Tbc taifa.
 
Majizi haya Comrade si unakumbuka wafanya biashara ya madini wa mahenge yale majizi ya mahindi ya moshi na matukio kibao hovyo sana lakini wakiambiwa maandamano ya kudai haki ya CDM utasikia sababu za kiintelijensia
 
bora wachimbie tu kuliko kuja watu wanaojiita"wawekezaji" wakwapue badala ya kuwekeza..
 
Back
Top Bottom