Mtu na wifi yake wanaswa wakijiuza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu na wifi yake wanaswa wakijiuza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Michael Amon, Mar 26, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  2.jpg

  1.jpg

  Sakata zima liko hivi, Jennipher Anthony (21) Mkazi wa Tabata jijini Dar pamoja na wifi yake Mgeni Tumaini (35) Machi 13, mwaka huu saa 9 usiku walinaswa na polisi maeneo ya Buguruni Kwa sokota jijini Dar wakiwa katika harakati za biashara yao ya ukahaba.

  Mara baada ya kukamatwa na polisi, mtu na wifi mtu hao walipandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi ya Sokoine Drive kwa kosa hilo.

  Ngugu wa watuhimiwa hao waliofika mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo, walimlaumu Mgeni kwa kumpotosha wifi yake Jennipher na kumuingiza kwenye biashara hiyo haramu wakati akijua kuwa ana umri mdogo.

  “Jennipher ametoka Iringa kwa ajili ya kuja kutafuta maisha na kufikia kwa wifi yake, kumbe walikuwa wakifanya biashara hiyo haramu bila sisi kujua,” walisema ndugu hao kwa masikitiko.

  Mbali na Jennipher na wifi yake, wanawake wengine waliopandishwa kizimbani katika mahakama hiyo kwa kutokana na kise hiyo ni Asha Samson (25) Mkazi wa Mburahati, Aisha Mohammed (35) Mkazi wa Kigogo pamoja na Jenny Michael (19) Mkazi wa Mbagala na kusomewa shitaka la kufanya biashara haramu ya ukahaba.

  Akiwasomea mashitaka yao Kaimu Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama hiyo Richard Magodi mbele ya Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Timothy Lyon alisema washitakiwa wote kwa pamoja walikana shitaka hilo.
  Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo aliihairisha kesi mpaka Machi 26 mwaka huu, huku watuhumiwa wakikosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti na kupandishwa karandika kwenda katika Gereza la Segerea mpaka kesi hiyo itakapotajwa tena.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mbona wanaume wanao wanunua hawakatwi?
   
 3. salito

  salito JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  jf kuna mambo balaa..
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu mkamatwa na ngozi ndio mla nyama.
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kidogo sasa....
   
 6. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Shame!
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Tamaa mbele mauti nyuma
   
 8. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe waziri wa ajira umesikia hiyo habari?
   
 9. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  wanasheria hebu mtusaidie hapa. Kesi ya ukahaba anahusika hadi mwanaume anayenunua?
   
 10. M

  MANGI1979 Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mkuu maana serikali imeshindwa kuzuia uvuvi haramu kwa kupambana na wavuvi badala ya kuzuia viwanda vya kutengeneza makokoro sawia na hili la kahaba ni mwanamke tu?mbona wanawaonea?ujue ndio wanaotuzaa na wengine wamo bungeni wanasinzia kwa shibe na kazi za usiku!leo hii watakuwa wanakabidhi mali zao receiption kasoro silaha maana mara nyingi dada zetu sio majambazi wao ni mshiko tu blackberry,lap,pete,mikufu,n.k
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Tuliahidiwa nafasi za ajira milioni moja, labda ndio hizi!
   
 12. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mume wa jenifa kasemaje
  OTIS
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hakuna biashara isiyo na mnunuzi MAchangu wa kinondoni waliwahi kumueleza mgosi Yusuph Makamba...
   
 14. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njaa kali 2 hiyo
   
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Wewe unadhani angesemaje wakati tayari ameshafedheheka?
   
 16. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  naomba namba za simu zao....
   
 17. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Usikute alimtuma akatafute hela ya kula maana maisha haya ya kikwete....hahahahahah
   
 18. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wafanyeje kama hawaijui kesho yao?
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ukisikia swali, kazi, jibu ndio hilo sasa..
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ili iweje?
   
Loading...