Chadema sio chama chenye uchungu na nchii, ila ni chama bei gali kununuliwa. Bei itafikiwa tu!!

adil_abdallah

Member
Mar 23, 2012
62
10
wazungu wanasema "they are playing hard to get"..walikuja wengi tu kama tlp,cuf,nccr mageuzi.....sasa leo watanzania tunafikiri chadema ndo chama chenye uchungu na nchi..hivi ukimkaribisha nyumbani mtu alie toka kula muda sio mrefu na mtu ambae hajawai kukaa mezani kula yeye kazoea kuokota okota mitaani nani atakula zaidi???
 
mbona hueleweki mkuu unataka kusema cdm ni chama cha msimu? Sidhani kama upo sahihi kama ndio ulichojaribu kuandika
 
unafkiri kila mmoja aliishia darasa la tano kama wewe....watu hapa vyeti vinaliwa na mchwa!!
 
kama wana nia nzuri hatuwakatai,ila kwa jinsi watanzania tulivo experience na siasa hatuna uhakika na mtu yeyote...leo zitto yukwapi?unafkiri slaa na mbowe ndo hawapendi raha?....watanzania kwasasa mbaka kitu kifanyike ndo tunaamini,porojo za majukwaa tumeona sana!!
 
Nadhani huwafahamu vizuri hao Slaa na Mbowe unaowataja. Kama kula walishakula zao, matunda ya jasho lao.
Why bother na za uwizi? Saa ya ukombozi yaja karibuni...
 
wazungu wanasema "they are playing hard to get"..walikuja wengi tu kama tlp,cuf,nccr mageuzi.....sasa leo watanzania tunafikiri chadema ndo chama chenye uchungu na nchi..hivi ukimkaribisha nyumbani mtu alie toka kula muda sio mrefu na mtu ambae hajawai kukaa mezani kula yeye kazoea kuokota okota mitaani nani atakula zaidi???
masabu yanakuwasha!
 
haha naona watu wamekua mbogo,mnakua kama sio wana siasa?...siasa sio comedy bwana,ukweli lazma ukuchome..hapa ndugu zangu ni ku jump urine and kukanyaga shit..bora tuendelee na hawa wanae jisafisha kuliko kurudi zama za uhuru!!!siasa sio nipashe na tbc,siasa ni kuunganisha matukio....
 
Back
Top Bottom