UVCCM na BAVICHA wataleta vurugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM na BAVICHA wataleta vurugu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ground Zero, Mar 27, 2012.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche alitoa kauli inayoashiria kuitisha UVCCM baada ya kujana wa cdm kukamatwa na kuteswa na wanaodhaniwa kuwa vijana wa ccm. "Tutakua wapole lakini hatutakua wanyonge, kitendo walichofanya viongozi wa ccm kumteka mwenyekiti wetu wa tawi la Magadirisho kumpiga na kumminya sehemu zake za siri hakikubaliki na hatutakivumilia"alisema John Heche. Je huko si kuchochea vijana kuchukua sheria mikononi?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Tumia akili hata kwa msimu tu!
  Mbona huongelei fujo za kumteka mtu na kumminya korodani?
   
 3. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hazijadhibitishwa!ni tuhuma
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,819
  Likes Received: 10,108
  Trophy Points: 280
  Yaani ukimwambia jirani yako acha uchokzi ntakufanyia kitu mbaya, nani anachochea vurugu hapo?
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,783
  Trophy Points: 280
  Kumvuta korodani uyo kijana ni kuchukua hatua mguuni???
   
Loading...