Video: Airport wanavyoiba kwenye mabegi...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Wanaiba bila kugusa kufuli uliyoifunga na huwezi kujuwa kama limefunguliwa....



Boffffffffffffffffffff
 
Last edited by a moderator:
ndio wanavofanya ivo,ilimtokea mwezetu katika safari fulani ivi
jamani siku iyo walijua sie ndo watanzania walijuta mana tuliamua kufungua mabegi mbele yawale walinzi wa airport ili tuhakiki mali zetu ndani (tulijua huu mtindo upo) walijuta mana tunabwata kiswahili wao lugha yao english was not reachable,wale walinzi mbona walitupeleka ofisi za airport na tulilipwa na kuombwa sana tusiite paparazi kwa aibu...tukana sana!!:wink2:
 
Back
Top Bottom