Matatizo ya Waislamu siyo Katiba, ni mfumo Kristo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo ya Waislamu siyo Katiba, ni mfumo Kristo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by African American, Mar 27, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. African American

  African American Senior Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesoma gazeti la Annur. Mwanzo mpaka mwisho wanalaumu wakristo na Nyerere kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yao. Hivi nchi zenye waislam wengi kama Somalia, na huko uarabuni yana matatizo kwa sababu ya ukristo?Nawashauri ndugu zangu waislamu wayapuuze hoja hizi za kichochezi! ningekuwa msajili wa magazeti ningelifungia mazima kwa sababu inawapumbaza waislam na kujenga chuki isiyo na msingi.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...