nilishtuka sana niliposikia mbunge wa moshi mjini mzee Ndesamburo almaharufu kama ndesapesa kamwaga milion 20 kuchangia chama chake cha CDM! KWANINI NILISHTUKA? mzee ndesamburo kupitia kampuni...
JF MEMBERS
MICHUZI BLOG KWA SASA IMEKUWA HAINA COVERAGE SAWA KWA TAARIFA WANAZOTOA TEMBELEA HII LINK THEN JUGDEMICHUZI: MKUTANO WA CCM WATIKISA NGOME YA CHADEMA MAJI YA CHAI
Nchi za wenzetu hawavutii wawekezaji kuchimba madini yao hata kama hawana teknolojia ya kutosha.Kwanza ndio wanaringa maana yanajiuza yenyewe ukiwashwa kuwekeza masharti yao ni magumu na wanataka...
Ndugu zanguni unaweza kuwa na mtoto malaya ukamchapa ukamkimbiza ukamfunga akitoka anakuzalia na rafiki yako...kisa sio kwamba amekuwa tu malaya bali chanzo cha ile tabia ndicho muhimu si hivyo tu...
Kwa hali jinsi inavyotokota ndani ya CDM hivi sasa, nimeona nijitoe mhanga na kujiunga na chama hicho ambacho ni tegemeo la mwananchi wa kawaida.
Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha CDM kinabaki...
Shirka la uma hili zamani walifanya kazi zi kiuma kweli lkn sijui siku hizi wameingiwa mdudu gani basi pamoja na hadhia tunayopata kutokn na huo umeme siku za nyuma kidogo TANESCO walipo kuwa...
Ukisikia kufuata sheria imefikia pazuri, ambapo wale wote waliojenga bila vibali au kuingilia hifadhi za barabara wote watuvunjiwa. Sheria hii imempitia Rais wetu mstaafu Mzee "Ruksa" pale kwake...
Ujio wa rais mpya kutokea upande wa upinzan nchini senegal umetuonyesha ipo siku
kuna muda na wakati tanzania itabadilika...itabadilika kivipi rais wade aliweza kubadili
katiba bila kujua...
Nasikiliza habari sasa hivi kupitia channel 10, nasikitika sana kusikia kuwa bara la Afrika linapeleka ughaibuni zaidi ya US Dollars billioni 40 kwa mwaka zinazopatikana kwa njia za rushwa.
Hivi...
Abari zakuaminika toka mtoa abari wangu,kwamba aijafaamika bado kua MUESHIMIWA KOMBA amefuata nini kwa mbunge wa Monduli,MUESHIMIWA KOMBA ameonekana akiwa na usafiri wa gari aina ya Costa,akiwa...
Alipokuwa akifunga kikao cha bunge jana tar. 19/11/2011 spika wa bunge Anne Makinda alisema zitaundwa kamati teule za bunge nyingi tu, alikuwa anamaanisha kuwa kuna uozo mkubwa ndani ya serikali...
Baada kuona ccm imezidi kumsakama kwa wapiga kura kuwa hafai kwenda Bungeni sababu mke, mgombea ubunge wa CDM Bw Nasari leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii mjini Usa River, alijibu...
Mkazi mmoja wa kijiji cha Mwamalasa wilayani Kishapu,juzi alinusurika kufa baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa wananchi wenye hasira waliomkuta akimwingilia kimwili Mbuzi wa jirani...
Kijana ambaye al-maarufu kama said sugu mkazi wa mombasa mjini unguja(zanzibar) amebuni gari aina ya sugu yenye muundo wa bajaji,akichezesha taya na mtangazaji wa star tv,said sugu alisema gari...
Nicholas Vujicic Nick (wa kwanza kulia) wakati wa harusi yake na Kanae Miyahara.
Nick akiwa na mpenzi wake Kanae.
KIJANA Nicholas Vujicic Nick, hawezi kuisahau Februari 10, mwaka huu kwani...
Tumepigwa na jua pamoja pale shule ya msingi mchikichini, tumebebana mzungu wa nne pale mabibo, tumegombania pamoja mashato, tumepiga deshi pamoaj, tumepiga shato pori pamoja from bibo to mlimani...
Iran vs Israel: What The Media Wants You To Forget
The corporate media have been given their orders to throw the focus back on to Iran.
Here is a recap of what they are trying to make you forget...
Wakati serikali ikisisitiza watumishi wake wajiendeleze kusoma ili kukabiliana na mabadiliko ya ulimwengu,serikali hiyi hiyo inateua viongozi wa nyadhifa nyeti kama hizo huku baadhi wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.