Foundation Foe Civil Society Yaibua Utitiri wa NGOs Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Foundation Foe Civil Society Yaibua Utitiri wa NGOs Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Mar 27, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kupongeza jitihada za Ujio wa FCS ambazo zimeibua utitiri wa NGOs nchini (kwa tamini yangu ya haraka, karibu kila kona utakuta kibao cha NGO) NAJIULIZA IWAPO KUNA TIJA KWA JAMII KWA KUWEPO KWA ASASI HIZI au ndio vile wanasema ni Nothing Going On (NGO) .....niliona majuzi hata Ma DR. wameamua kukimbilia kufungua NGOs, TENA ZA UTAWALA BORA ALBEIT INGEKUWA KUHUSU MASUALA YA AFYA..........hata wafanyabiashara wengi tu nao wameamua kufungua NGO kutokana na ruzuku lukuki zainazomwagwa na NGO. Mathalani, kuna NGOs ZINAFANYA ADVOCACY YA MASUALA YA Ufuatiliaji wa Pesa za Umma lakini ndio kwanza CAG anasema zaidi ya 20% YA FEDHA ZA UMMA ZINATAFUNWA....najiuliza pia iwapo kuna ufuatiliaji wa jinsi NGOs HIZI ZINAVYOTUMIA RUZUKU MBALIMBALI KUTOKA KW WABIA WA MAENDELEO (charity begins at home) naamini kabisa kwamba uozo uliopo kwenye NGOs UNAZIDI ULE ULIOPO SERIKALINI.......

  Ni suala linalohitaji mjadala..
   
 2. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nimeipenda hiyo tafsiri ya NGO=Nothing Going On
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Sasa kama NGO ina wafadhili wake from no where around the world,haija2mia hata sent 5 ya kodi yenu unaiingilia kati ukiwa kama nani?Tayari ni none governnent organization afu government ianze kuzichambua c wanataka 2 migomo icyokua na head wala tail?heb waacheni bana!
   
 4. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  HAPA SI SAHIHI KABISA! Kwamba sio hela za kodi yetu, ni hela za kodi za wale, lazima kuwajibika! Binafsi nadhani accountability miongoni mwa NGOs zilizo nyingi una walakini. Wao kwa wao unakuta kuna rushwa kabla mtu hajapatiwa ruzuku...hii lazima wao au NACONGO walipiganie pia kuhakikisha kelele za uwajibikaji wa serikali wao pia lazima kuwajibika
   
Loading...