Sanamu ya bismini yashambuliwa!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sanamu ya bismini yashambuliwa!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jogi, Mar 19, 2012.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Watu wasiojulikana wameishambulia sanamu mashuhuri kabisa katikati ya jiji la da-si-lamu. shambulizi hilo ambalo lengo lake halijafahamika limesababisha kuvunjika kwa singe ya bunduki ya kinyago kile kikakamavu!!!!!!! wakijadili jambo hili, baadhi ya wananchi maeneo ya posta wamelaumu kutokuwepo usalama wa kutosha maeneo husika nyakati za usiku, na wengine wamekejeli eti yawezekana majambazi yalijichanganya kwa kudhani ni askari sniper akalenga kichwa bahati akaikwanyua singe!!!!! Hii ndiyo dar
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Pale ni Maskani ya Kichaa Mmoja hivi... ama kweli kila kitu kinawezeka hapa Daslam.
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Huyo mchizi wanamuangalia tu, mpaka asababishe madhara ndo waanze kukimbizana.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  bongo hii????
  Usikute kuwa wamedanganyana kuwa kunautajiri mle.....
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Watu wa chuma chakavu walitaka kuanza nayo hiyo bismini
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  nasikia pale ndipo kilometers za magari huanza zero kwenda popote
   
 7. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,269
  Trophy Points: 280
  mbn wengine wanasema mnara wa saa...?
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mimi. Nilishuhudia hilo tukio ilikuwa ilikuwa ijumaa saa tisa mchana. Kichaa alipanda na kuninginia polisi aliye Kuwa. analinda bank akuja na akamweka chini ya ulinzi.
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Alininginia kwenye singe au aliningiaje
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Dah mji wa dili labda watu wameshatonywa lile ni sanamu la mjerumani,
  si mnajua mambo ya rupia na vitu vya dhamani vya mjerumani?
   
 11. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wazee wa chuma chakavu noma hahaha
   
 12. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivi lile sanamu maana yake huwa ni nini?
   
 13. rfjt

  rfjt Senior Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ingawa siungi mkono uharibifu huo, lakini huwa najiuliza maana ya kuwa na sanamu ile ya mkoloni mahali pale ambapo ndio centre ya jiji. Umaarufu wa sanamu ile umemeza ule wa mnara wa saa. Bado sijajua Bismin alikuwa nani hasa kwa historia ya Tanganyika au Dar es salaam.

  Sijajua pia kwanini spelling za neno Dar es salaam zisiwe kwa kiswahili kama Daresalam.

  Miaka 50 ya uhuru tumeendelea kukumbatia na kuenzi mabaki ya wakoloni!!!???

  Nipeni mwanga hapo nimetafakari kwa muda mrefu lakini sijapata majibu.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hapana. Zero point ni "clock tower".
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Askari wa kiafrika aliyepigana upande wa wajerumani, hao ndio kina Kleist, na ndio ukoo uliopigana vita upande wa wajerumani na ndio ukoo wenye historia ndefu na ulioanzisha mapambano ya kudai Uhuru Tanganyika na ndio ulioanzisha vyama vya mwanzo vya siasa Tanganyika, walitokana na askari hao wa kijerumani.

  Iliandikwa kiswahili kwa maandishi ya kiarabu. hizo ndizo herufi orijino za lugha ya kiswahili.
   
 16. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  mkuu hata mm najiuliza huyu Bismini alikuwa nani??

   
 17. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Jamaa alipanda sanamu kisha akashikilia mkono wa sanamu na kujisogeza mpaka kwenye singe hapo akawa ana ninginia.
   
 18. rfjt

  rfjt Senior Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Asante kwa kutuelimisha.
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  One shot for all the Kavirondos,Tanzania Legion members and their families.

  One madman doesn't stop the legacy.

  bongo unit

  [​IMG]
   
 20. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  waliulize litawaambia aliyevunja!
   
Loading...