Wanasiasa hawa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa hawa.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwiyuzi, Mar 21, 2012.

 1. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  "Wanasiasa wenye uthubutu wa kuwadanganya wananchi hadharani hawaachi kuwahujumu wananchi wanapokuwa faraghani"
  1.Hupenda kuwaadaa wananchi...."tell them what they wish to hear and not the reality"
  2.Huamini kuwa nchi iko mikononi mwao na hawataondoshwa milele
  3.Huwa na kiburi kwa waliowachagua kwani wanaona hawanawajibu wa kuwatumikia wananchi
  4.Huwaonyesha jeuri na hata kuwadhihaki watetezi wa wanyonge

  NI AKINA NANI HAWA?????????????????

  WITO: WANASIASA WA AINA HII WANYIMWE KURA KWANI HAWAFAI KABISAA
   
 2. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Wanasiasa wenye tabia hii JUENI KUWA BWANA WA MAJESHI HUCHUKIA DHULUMA hivyo basi kaeni mkao WA KUSUBIRI UHARIBIFU! Alikuwepo FARAO....akaangamizwa, Nebukadreza alishika adabu yake huko porini sasa na nyinyi suburini mkione AONYWAYE MARA NYINGI AKISHUPAZA SHINGO ITAVUNJIKA NA WALA HATAPATA DAWA!
   
 3. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​mkuu si utaje tuu ni CCM bila shaka yoyote ni wao wenye uthubutu huo
   
 4. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mfano?
   
 5. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  aliyedai anaVIJISENT benki
   
Loading...