Trafic wa tanzania na driving under influence

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Nimefuatilia vyombo vya habari vya marekani na nimegundua police wa usalama barabarani wako makini sana na makosa ya madereva walevi na hata kuongea na simu...hivi Tanzania ni lini traffiki wetu watafikia viwango vile vya marekani? inasikitisha sana madereva wengi hapa wanaendesha wakiwa chakari na si madereva wa daladala tu hata hao tunaowaita watu makini wa maofisini.... hata traffic akimkamata anaambulia kumpa elf tano anamwachia inasikitisha sana
mfano mwingine juzi tu traffic alinikamata kwamba gari yangu haina sticker ya usalama barabarani akadai nimpe 5000 baada ya kukataa na kusisitiza sticker iliyopo ni valid akaniachia nilivyoenda traffic makao makuu kuulizia kama gari yangu inahitajika kukaguliwa tena ofisa incharge akaniambia ninunue sticker tu kwa elf 7000 nibandike huku bei halisi ni sh elf 5000 maana yake elf 2000 inaliwa.... corruption ni endemic kwenye nchi hii...hata utawala ukibadilika itachukua muda sana kuondoa rushwa......Corrupt country!!!!​
 
Back
Top Bottom