MHAVILLE na MSHANA rekebisheni udhaifu huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MHAVILLE na MSHANA rekebisheni udhaifu huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DALLAI LAMA, Mar 26, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Haiwezekani kila siku picha ya kampeni ya ccm ni ile ile ya kaumati cha vijiwatu siku ya ufunguzi pale ngaresero.Tupeni hali halisi kwa sababu mwanza hawapigi kura hapa arumeru na kwa sababu iyo basi sisi tulio hapa tunaona ni usanii coz tunajua wanaohudhuria ni wachache ktk kampeni za magamba,so tunaomba ITV na TBC wasijiingize katika popaganda na drakatumba ambayo haiwahusu...NATOA HOJA
   
 2. N

  Nova Makunga Verified User

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hali halisi ndiyo hiyo taaluma mbele hakuna sababu ya kudanganya
   
 3. T

  T. 2015 CCM Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Moja ya fikra za mjinga ni kujihami hata kwa kile kizuri kinachofanywa na wengine. Taaluma ya picha ni ngumu sana kuitengeneza kienyeji.
  Badilikeni!!!!
   
 4. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  wanalinda maslahi ya mafisadi hao
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hizi tv ni janga la kitaifa
   
 6. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  si kweli hata kidogo mimi nimtazamaji habari mzuri sana wa I.T.V na huwa wanaonyesha matukio ya arumeru kila siku na kwa picha tofauti tofauti, sasa iyo hoja yako kwamba wanarudi picha iyo iyo ni ulimbukeni wako uwo.

  lazima watanzania tuwe nahulka yakupongeza kitu kizuri kinapofanyika nasio kuweka siasa kwenye kila jambo, mwishowe tutapekeka siasa mpaka kwa wake zetu.
   
 7. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi umefikiria kabla ya kuandika? Clemence Mshana wa TBC ajirekebisha?! Give me a break dude! Hivi unajua kilichomtoa Tido Mhando TBC? Mshana ajirekebishe yeye hajipendi? Mshana ameletwa TBC purposely kufanya kazi hiyo unayomtaka leo ajirekebisha. Mshana anawatumikia CCM that is the plain truth wether you take it or leave it.
   
 8. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Nadhani TV hizi mbili zinajitahidi sana ingawa wakati fulani wanalazimika kuzingatia sera za vyombo vyao.

  Tatizo ambalo naliona TBC ni ule ukereketwa wao kwa CCM unaoonyeshwa na baadhi ya waongoza vipindi huku wakiwa na uhakika wa kutochukuliwa hatua zo zote na mwajiri wao.
   
 9. L

  Lamusumo JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  marudio ya picha yapo na mfano halisi ni picha za tar 25 na 26 hazikuwa na tofaut hata kidogo,ref itv news
   
 10. R

  Ramanengo Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  frankly,ITV wanajitahidi kuonesha habari bila upendeleo wa chama chochote, lakini TBC hamna kitu nadhani mshana anaogopa kilichomkuta t.mhando
   
 11. Jimmy Romio

  Jimmy Romio JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  wanarudia hata mimi nimeona.
   
 12. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini ukweli unabadi pale pale kwamba wanachanganya na picha za siku ya ufunguzi, wanatumia za siku ile pale tu wanapokuwa na watu wengi wa kutoa!!!
   
 13. m

  mapa Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kupayuka payuka wewe. Tupongeze kitu gani hicho? hebu tuambie hicho kizuri unachokiona. lililosemwa ndo ukweli wenyewe. TV hizi hazitupatii ukweli wa mambo! ni kuonesha yale yanayovutia kwa upande mmoja tu bila kuanika ukweli wote hadharani kwa umma wa watanzania. Kama alivyosema mtoa mada, suala la upigaji kura ni la wanaarumeru hakuna haja ya waliombali kufichwa ukweli. Huu ni wakati wa Uwazi na Ukweli Kama alivyokuwa amezoea kusema mmoja wa kiongozi wetu mkubwa katika Taifa hili.
   
Loading...