Tido Muhando | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tido Muhando

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Silver Rock, Mar 23, 2012.

 1. Silver Rock

  Silver Rock Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tido muhando kuwa mkurugenzi mtendaji wa Mwananchi hapo ni kuikosoa serikali kuwa haikuwa sawa wakati inamfukuza TBC kisa yeye ni muwazi.....sasa hivi TBC vipindi upendeleo kibao hakuna ukweli kama alipokuwepo Tido Muhando.....ngoja waone mwananchi itakavo kuwa nzuri now, hakuna kuficha kitu,kila kitu kukiweza wazi tu...ukweli ukweli
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivi kabla ya Tido, Mwananchi lilikuwa siyo zuri. Mimi naamini MEDIA yoyote nzuri ni ile ambayo haiegemei upande wowote kiitikadi, Media ambayo inaikosoa SERIKALI na siyo kuishambulia Serikali, Media ambayo inawajulisha wananchi juhudi za Government na siyo kuwapotosha wananchi juu ya juhudi za Serikali katika kuwaletea maendeleo. Tido Mhando ni mtu wa Kimataifa so, huwenda wengi wanadhani anakwenda Mwananchi kuishambulia Serikali au kupambana na mtu. Tusije tukageuka tena na kuanza kusema oh, Tido vipi mbona hatuoni mambo , kisa tu eti haiashambulii Serikali kama ambavyo wanahabari wengi ambao mwisho wao wa kufanya habari ni kuripoti unchaguzi mdogo wa Arumeru. TIDO anjua miiko ya uhabarishaji Kimataifa.
   
 3. Silver Rock

  Silver Rock Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi naamini Tido ni mtu anaesimama kwenye ukweli na si mtu wa kuyumbishwa kama bendera inayofuata upepo,ukifuatilia kwa makini kwa nini Tido katoka TBC utagundua kuwa ni kusema ukweli,kusimama kwenye ukweli,hana mtu wa kumsumbua mi ninavoamini kama umeamua kufanya kazi basi fanya kazi kazi bila kuyumbishwa.....
   
Loading...