Zomea zomea ccm yawageukia wanafunzi na walimu

kombah

Member
Nov 1, 2010
52
38
Hali tete imetawala Arumeru na kuzua kizaa zaa sehemu mbalimbali wakihusishwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na walimu ,wamelaumiwa na viongozi wa ccm kwa tabia ya wanafunzi hao wanapoona gari la TOT la matangazo na magari mengine ya CCM wanayazomea kwa nguvu na kusababisha watu wengi kuiga mtindo huo kuenee Arumeru nzima na kusababisha wanaccm wengi kuvua mavazi ya ccm kwa kuofiwa kuzomewa.Habari za kuaminika kiongozi mmoja wa ccm alivua nguo yake jana kutokana na kuzomewa na watoto alikasirika hatimae kuvua gwanda lake.
 
Heading yako haiko sawa, rekebisha!
Zomea zomea haijawageukia Walimu na wanafunzi!..Bali Walimu na wanafunzi wameingia rasmi katika zoezi la kuwazomea ccm na gari lao kila wanapopita, hali ambayo imesababisha vigogo wa ccm kuchukia na kulaani matendo hayo@!
 
Hali tete imetawala Arumeru na kuzua kizaa zaa sehemu mbalimbali wakihusishwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na walimu ,wamelaumiwa na viongozi wa ccm kwa tabia ya wanafunzi hao wanapoona gari la TOT la matangazo na magari mengine ya CCM wanayazomea kwa nguvu na kusababisha watu wengi kuiga mtindo huo kuenee Arumeru nzima na kusababisha wanaccm wengi kuvua mavazi ya ccm kwa kuofiwa kuzomewa.Habari za kuaminika kiongozi mmoja wa ccm alivua nguo yake jana kutokana na kuzomewa na watoto alikasirika hatimae kuvua gwanda lake.

Hii kitu nimeipenda, hiyo mbona kawaida, chama kama hakitakiwi lazima mambo kama hayo yatokee. Ndio wakome na kiherehere cha kuvaa mpaka bendera ya CCM. Unamkuta mtu mzima hana kitu maskini wa kufa, afya mbovu, watoto kashindwa kuwapeleka shule, lakini kavaa shati la CCM na kujipeleka mbelembele kwenye kampeni na bado anataka kuendelea kuwapa kura, mimi naona ni kama laana fulani ya kumfanya mtu afanye mambo bila kujua anachokifanya. Kusema ukweli wote wanaoipa kura CCM sasa hivi wanapata dhambi kwa Mungu ya kuchangia kuwaendeleza mafisadi.
 
hahahaaa, sisiemu wana kazi ila tatizo ni wizi wa kura tu, sisiemu ni noma kwa wizi km walivyoiba EPA na kwingineko.
 
Kwa heading hiyo, nilitarajia kukuta umeandika sasa wanafunzi na walimu nao wanazomewa!
 
Haaah, kumbe hili ni jipya, sisi hapa ofisini kwetu(public office) huwa ndiyo salama ya kuamsha wajumbe wanapopoza kwenye meeting,boss husema ''makamanda sasa naona mnalala...pipooooz....pawaaaaaaaa'' kisha kikao huendelea
 
Na hao ndiyo wanawatumia kuiba kura, itawezekana kweli safari hii? Na hao wanafunzi ndiyo wapiga kura wa kesho, kazi ipo!
 
Hali tete imetawala Arumeru na kuzua kizaa zaa sehemu mbalimbali wakihusishwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na walimu ,wamelaumiwa na viongozi wa ccm kwa tabia ya wanafunzi hao wanapoona gari la TOT la matangazo na magari mengine ya CCM wanayazomea kwa nguvu na kusababisha watu wengi kuiga mtindo huo kuenee Arumeru nzima na kusababisha wanaccm wengi kuvua mavazi ya ccm kwa kuofiwa kuzomewa.Habari za kuaminika kiongozi mmoja wa ccm alivua nguo yake jana kutokana na kuzomewa na watoto alikasirika hatimae kuvua gwanda lake.
naomba u edit, kavua gamba dadala ya gwanda, manake magwanda yanafahamika yaliko,hawa niwa magamba tu atii
 
nasikia huko arumeru mwalim akiingia klas anasalim wanafunz "PIPOZ" wanafunzI "PAWA" then anaendelea kukata nyanga

Haisaidii sana...wengi wetu humu JF (angalau tuliosoma enzi zile zidumu fikra za mwenyekiti...) tulifindishwa somo la siasa za CCM, tuliendeshwa puta 'chipukizi' bila hata kujua maana yake...lakini leo ndio wapinzani wakubwa wa CCM (japo sio lazima tuko vyama vya upinzani)!
 
Kwa kuwa ni ving'ang'anizi wa madarakani, wajiandae kuzomewa Tanzania nzima. Huo muda utafika tu.
 
Back
Top Bottom