Wanawake bwana kiboko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake bwana kiboko!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bigcell, Mar 29, 2012.

 1. bigcell

  bigcell JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hivi hizi taasisi na vyama vyama vya wanawake tz imekaaje hii;  ` WBA - bank ya wanawake Tz`
  ` WAMA- wanawake na maendeleo`
  ` KIWOHEDE- Kilimanjaro Women H.... Development.. Mtanisaidia hapo kwenye H wana jf kirefu chake nimesahau`
  ` MEWATA- Chama cha madaktari wanawke TZ`
  ` TAWLA - Chama cha sheria cha wanawake tz`
  ` TAMWA - chama cha waandishi wa habari wanawake tz`

  Ipo siku tutasikia wanaunda Jeshi la kinamama Tz. na hii yote ni kuwabana wanaume sijui tumewakosea nini Mungu wangu.

  kama kuna nyongeza wakuu karibuni.
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwaulize Preta, madamex n.k chama cha wanawake JF kinaitwaje, huenda hatujui- CCWAJF I guess!
   
 3. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  UWT - umoja wa wanawake Tanzania
  TQ- Taifa queens
   
 4. broken ages

  broken ages Senior Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 160
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Haya yote wanayafanya ili kwamba wawe na sauti moja katika kuwakabili wanaume katika Yale wanyoamini ya kuwa wanaume wanawanyanyasa ama wanawatenga katika nyanja mbalimbali za kijamii hasa kwenye nafasi za juu kiuongozi na wanasahau ya kuwa hakuna sehemu wanayotengwa kila mtu anaingia sehemu ya kazi kwa qualifications lakini naona kama waangeridhika sana ikiwa wangepewa nafasi za juu za uongozi bila kujali cvs ama uzoefu na vitu vya namna hiyo.ikiwa wanajianzishia vikundi ama jumuiya basi wasizibane sana kwa maana ya gander moja waanzishe jumuiya ambazo zitachanganya jinsia zote ili kama ni kujadili mambo ya kimaisha ama jamii kwa ujumla majdiliano yashindanishe jinsia zote na hata kama ni kutenda kwa maana ya uwajibikaji kuwepo na ushindani ulio sawa
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280
  Twiga Star, Chama cha wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania.....Male Phobia...
   
 6. k

  kiparah JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Tangu Mungu anaumba dunia, alimfanya mwanaume kuwa juu na itaendelea kuwa hivyo kwa mujibu wa maandiko matakatifu. Ndo maana Biblia inasema Askofu na asiwe mwanamke.
   
 7. bigcell

  bigcell JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  hivi na sisi tukianzisha jumuiya zetu wanaume kuna mwanamke atakayekaa kweli?
   
 8. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Jumuiya zetu zipo, kama vipi tukutane Savannah Lounge tupige bia kadhaa tuongee yetu, kwisha!
   
 9. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,119
  Likes Received: 1,752
  Trophy Points: 280
  Mambo ya beijing hayo! hata hivyo nawahakikishia hizo taasisi zao nyingi zipo kisiasa zaidi! wakisimama majukwaani wanaongea hao! lkn wakirudi nyumbani heshima na adabu! ni namna flan ya kujitutumua ili basi angalau tujue nawao wapo!
   
 10. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Biblia inasema katika kitabu cha MWANZO,3:16 Mungu alisema hakika tamaa ya mwanamke itakuwa kwa mmewe naye mwanamme atamtawala mwanamke, hili ndilo agizo la Mungu kwa manamke, sasa wajihadhali wasiende kinyume na Mungu wao.
   
 11. Arabii

  Arabii Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanawakeeeeeee!
   
 12. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ashadii, WOY.
   
 13. broken ages

  broken ages Senior Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 160
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wanajitahidi kuwa sawa na wanaume lakini wanajichanganya kwamba ni usawa gani wautakao,wakumbuke ya kwamba mungu alikusudia kumwumba Binadamu kama mwanaume na alipokwisha maliza ndipo akaona ni bora ampe huyu mwanamume mtu wa KUMSAIDIA ambaye ni MWANAMKE hivyo baadaye ndipo alipomwumba mwanamke na wala hakuwananisha..
   
Loading...