Magazetini leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazetini leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Mar 28, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Naona uko kazini. Unalipwa ngapi ndugu yangu?
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Subiri wale wakurukutwa na CDM wakupe za uso!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hili gazeti analimiliki nani? Tuanze hapo kwanza!
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kama yeye yuko kazini wewe je?
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Naukumbuka waraka huu tuliletewa hapa JF wiki iliyopita.
   
 11. d

  davidie JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili gazeti linamilikiwa na mhindi mmoja hivi lakini amempa umiliki wa kimagumashi jamaa mmoja anaitwa Albert Kawogo( jamaa msanii msanii hivi)hapa anajiita mkurugenzi mtendaji, huyu jamaa alisoma chuo cha sanaa bagamoyo akumaliza chuo akafukuzwa kwa sababu ya pombe na unafki wake wa kujikomba kwa mkuu wa chuo MR PITER NYAMBASI, HUYU KAWOGO ALIKUA ANAFUNDISHA HUKOO MBEGANI( MWALIMU SHULE YA MSINGI)
   
 12. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Hii ni aibu kubwa. Halafu eti wanajiita Chama Cha DEMOKRASIA, demokrasia uchwara.... ukabila umetawala, wanapeana nafasi kifamilia. Halafu mijitu inashabikia na kudai wako na Mungu.....unafiki mtupu.

  Mungu hana upendeleo wala ukabila !!
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na mimi pia niko kazini.
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ndio maana habari zake ni za kimagumshi.
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hee, kumbe jambo leo na lenyewe ni la CCM? Nilijua ni mzalendo, uhuru na habari leo pekee? Kama pamoja na vyombo vya habari vingi kiasi hiki bado chamba kinazidi kubomoka, je wasingekuwa na vyombo vya habari ingekuwaje?
   
 16. K

  Kiumbe duni Senior Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku zote huwa nawashangaa sana watu ambao ni wavivu wa kufikiri, ukitaka kuanzisha chama, kampuni,nk ni lazima uwe na watu wa karibu ambao mnaaminiana mshirikiane ili kufanikisha lengo. Kwa hiyo basi ndio maana CDM ipo imara mpaka sasa sababu haikuchukua watu ili mradi kuirizisha jamii imechukia watu makini wanaoaminiana na uaminifu ni lazima uanzie kwa ndugu marafiki majirani halafu baadae ndio watu baki. Watu hawakurupuki wapo makini mtasema mtachoka lkn chama kinazidi kuwa imara kila kukicha. Mrema alikurupuka akajaza watu ovyo kwenye chama wakamgeuka.
   
 17. I

  Idofi JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1,541
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  ali hassan mwinyi na hussein mwinyi, kikwente na kawambwa mtu na mpwa, kigholma malima na adam malima, vita kawawa na marehem mzee kawawa, marehem karume na karumes' endeleza orodha hii
   
 18. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red unazidi kunitia wasiwasi zaidi juu y aintegrity ya chama, na approach ya kuanzisha chama imara cha siasa kwa kuanzia na ndugu bado sikubaliani na wewe hata kidogo, ingekuwa hivi basi TANU, ASP vingejaa koo za waanzilishi wa chama, lets us be a little bit critical katika sensitive issue kama hizi, kwa mfano personnally sikubaliani kabisa na uteuzi wa moja kwa moja wa aliyekuwa mke wa Dk. Slaa kutoka kujiunga muda mfupi mpaka kuchukua nafasi ya viti maalumu, je ni nguzo ipi na/au mchango upi aliouonesha kwa muda mfupi (miezi miwili/mitatu mpaka akubalike na si mwanachama mwingine aliyekuwa ndani ya chama miaka nenda rudi?)

  Unaposema watu baki na kujaza watu ovyo unamaanisha nini? nani ni mtu baki na nani si mtu baki linapokuja suala la ukombozi wa nchi hii? suala la chama cha siasa halitakiwi kujengwa katika misingi ya kifamilia, kindugu au hata kirafiki, ni suala la ukombozi wa nchi na destiny ya watanzania wote kwa ujumla wao, motive ya kuanzisha chama inakuja katika mtazamo wa pamoja na jumla wa kumkomboa mtanzania na kila mtanzania ambaye ni mwanachama au si mwanachama anagusu na maamuzi mazuri au mabaya yatakayofanywa na chama husika, sidhani kama watanzania tumefikia hatua ya kutegemea kuaminia kwa familia na/au koo moja ili tupate ukombozi wa jumla, narudia tena si sawa hata kidogo
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  You are too cheap to buy.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  [h=6]Mariapia Samson
  [/h][h=6]HII NIMEIKUTA MTANDAONI
  HISTORIA YA Mh. Free Man Mbowe.
  Mwenyekiti ana historia chafu ya ufuska na uasherati . Hili ni tatizo kwa maadili lakini ni tatizo zaidi kwa Mwenyekiti Mbowe kwasababu analeta hizi tabia kwenye kazi na kuleta mifarakano.Nitatoa mifano kadhaa:

  amevunja ndoa ya Mbunge Grace Kiwelu ambaye alikuwa ameolewa na mtoto wa Mzee Ndesamburo anayeitwa Sindato. Mwenyekiti alikuwa na u...jasiri wa ku...lala na Grace...... kwenye ziara za Kichama wakati Mzee Ndesamburo anaona kwa macho yake . Mzee Ndesa alilileta hili suala Kichama, rekodi zipo hadi leo, lakini Mbowe akawa anaendelea. Kesi ilifika mahakamani na talaka kutolewa.

  ... Mwenyekiti alitia aibu katika ziara tuliyofanya Newala. Grace Kiwelu na Chiku Abwao walipigana usiku saa 7 kwenye nyumba tuliyofikia kwasababu kila mmoja alitaka kulala na Mbowe. Ugomvi ulikuwa mkubwa baadaye Chiku Abwao akafanikiwa kulala na Mbowe. Msafara ulipofika Nachingwea, Grace akawahi kuingia chumbani kwa Mbowe mapema, kwahiyo Chiku akafukuzwa. Ilikuwa ni fedheha kubwa kwa walioshuhudia. Kwa kifupi, kama tunataka kujenga Chama makini, huyu hatufai kama Mwenyekiti. Tunao viongozi wengi ambao hawana historia ya uchafu wa biashara na uchafu binafsi.

  Mwenyekiti alipigana na kiongozi mwenzake wa Chama Kawe kwenye sherehe ya kikundi cha sanaa cha Chama kinachoitwa Malongo Sanaa Group kwasababu Mwenyekiti alimtaka msichana mmoja kwenye kikundi anayeitwa Subira Waziri (au Koku) ambaye ni bibi wa kiongozi huyo. Ugomvi huo ulikuwa mkubwa na Mwenyekiti alichaniwa shati, lakini alimpiga na kumuumiza kiongozi mwenzake. Kesho yake Mwenyekiti akaenda kwa Mzee Makani kuomba radhi na kutoa 300,000 kwa kiongozi mwenzake asiseme na kuchukua hatua.

  Mwenyekiti pia amevunja ndoa ya Mwanamrisho Abama wa Zanzibar ambaye bado anaendelea naye mpaka leo. Pia ameingilia ndoa ya Sophia Khatau wa Lindi ambaye mume wake anafanya kazi TTCL. Pia alivuruga ndoa ya Diwani wa Viti Maalum Halmashauri ya Hai anaitwaSee More
  [/h][​IMG]
   
Loading...