KATIKA kile kinachoonekana kuwa baadhi ya wanawake wamedhamiria kumaliza hisia zao za kimapenzi wao kwa wao, biashara ya uuzwaji viungo bandia vya siri vya kiume, imeshamiri jijini Dar es Salaam...
Nimeambiwa udiwani kata ya Lagangabilili-Bariadi CCM wameibuka kidedea dhidi ya UDP : Chadema hilo ni jimbo la kufuatilia maana John Cheyo kwishney kama upinzani mkiendelea kumwachia jimbo...
hivi ni kweli kuwa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha bwana tobiasi andengenyi hajui kirefu cha chadema!nimemsikia akihojiwa na east africa Radio,juu ya zoezi zima la upigaji kura linaloendelea huko...
Wapenzi wana JF, wote ni mashuhuda wa jinsi RTD kisha TVT na then TBC ilivyonawiri kiteknolojia na hilo halina ubishi. Pongezi kwa waliohusika akiwemo ndugu Tido. Lakini pia tumeona kupotea kwa...
Wanajamv leo ni siku ya wajinga lakn imegeuka kuwa siku ya werev ktk jimbo la arumeru mash kwa kumchagua bwana JOSHUA NASARY PAMOJA NA KATA MOJA KULE SONGEA MWANZA NK CHADEMA 4REVER!
Wana JF embu tusaidiane kuleta mabadiliko katika idara hizi za serikali, kuna ndugu yangu anamilki kiwanja cha kupima Buswelu ambacho alikinunua tangu mwaka 2006 na kwa mujibu wa utaratibu wa...
ITV ndiyo nilikuwa naitegemea kuonyesha hitimisho la kampeni za uchaguzi wa Arumeru na nikawa nimejiandaa mbele ya screen yangu kama kawaida. Cha ajabu nikasikia na hapa ndo mwisho wa taarifa za...
Mungu baba mwenye enzi yote muumba mbingu na dunia mjaza neema ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupi nene na nyembamba tunaomba kama watakatifu wako utusamehe dhambi zetu zote tulizofanya kwa kuwaza...
Wadau,mwaka 2010 kwenye kura za maoni Lusinde alimuangusha mzee Malecela,wadau wengi wakasema si vibaya kwa vijana kushika hatamu,weng wakaamin kuwa jimbo la MTERA limepata kijana...
sijaona mantiki ya habari hii kutoka TBC leo mchana.. Akitoa msaada huo wenye thamani ya zaidi ya milioni 5 kwa niaba ya serikali, Naibu mkuu wa mkoa wa moro Mwantumu Mahiza amesema ni mpango wa...
Wana jamii forum, watanzania sasa wana shauku ya kujua kile kinachoendelea kwenye chaguzi za leo..
Tukikaa muda wote tuna andika taarifa za uongo,hatuwatendei haki..
Kama ujinga waachieni...
Eti nimesikia kuna mjadala wa Kitaifa juu ya ukosefu wa ajira TZ. Ni jambo la kushangaza ktk nchi hii.
Ni kweli kabisa kwamba Vijana hawana ajira. Elimu ya juu inamwaga kila mwaka, wanaoajiliwa...
Katika hari ya kushangazi ni kuona mchakato mzima ulivyo kuwa na kufika mwisho eti mgombea binafsi hajipigii kura.....
Wagombea hawa SIOI SUMARI wa ccm yeye alijiandikisha mbezi beach TLP...
POLISI mmoja kati ya watatu waliokuwa kwenye doria, amepigwa na kujeruhiwa na mtuhumiwa walipokwedna nyumbani kwake (mtuhumiwa) kumkamata.
Tukio hilo lilitokea saa 1:00 usiku wa kuamkia jana Mtaa...
Jana usiku wamekutwa kata ya kirumba ibanda wakituhumiwa kugawa mlungula na kupigiwa kelele za wezi na watu. Ni Kiwia na Machemuli,hali zao mbaya kwa majeraha ya mapanga. Source wapo rdo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.