ushaurikwa wanamazingira -NDANI YA MABASI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushaurikwa wanamazingira -NDANI YA MABASI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wizaga, Mar 31, 2012.

 1. wizaga

  wizaga Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi haiwezekani kabisa kuweka sheria ndogo ya kuthibiti ushafu au mabaki ya vifungashio kwa abiria wasitupe nje ya basi? pamoja na baathi ya mabasi yanayofanya safari DSM TO MWZ AU ARUSHA OR MBY kuweka vifa vya kutunzia uchafu ndani ya basi lakini elimu hakuna USHAURI ifanyike kama ndani kwenye safari za ndege ,taarifa zitolewe kila wakati ndani ya basi mfano sasa tupo maeneo ya mikumi au ngorongor au sekenke au nationa park fulani,eneo hili ni hifadhi ya wanyama ,hivyo haustahili kutupa chochote nje .taarifa kama hii ikifanya kila sehemu, ,kila wakati, watu watajua na hawatachafua mazingira asanteni
   
Loading...