Nauli Moshi to Dar leo haikamatiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauli Moshi to Dar leo haikamatiki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilli, Mar 31, 2012.

 1. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa wale wenzangu na mimi ambao leo walikua wanasafiri toka Moshi kuja Dar wamepata dhahama baada ya nauli kupanda ghafla.
  Hii imetokana na mabasi mengi kukodishwa na wizara ya mambo ya ndani ili kusafirisha wahitimu wa mafunzo ya Uaskari polisi kwenda mikoani baada ya kuhitimu mafunzo yao cku ya jana hivyo kusababisha mabasi machache yatoe huduma ya usafiri kwa leo.
  Mabasi yaliyokuwepo stendi ya Moshi mjini yalitoza nauli kuanzia 20,000 hadi 35,000 na hivyo kusababisha usumbufu kwa abiria hasa wanafunzi wa shule na vyuo mbalimbali waliokua wanaenda likizo ya pasaka majumbani kwao.
  My take
  Hii ndio Moshi, tabu yako faida ya wengine. Karibu Moshi mlyeu!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Normal fair ni ngapi?
   
 3. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwa mabasi haya ya kawaida huwa ni kuanzia 13,000 hadi 15,000 ikizidi sana ni 18,000.
  Luxury huwa ni kuanzia 25,000 hadi 27,000. Lakini leo hiyo luxury ndo hata kuguswa tu haigusiki.
   
Loading...