Mangi adondoka getini TBL

MANGI1979

Member
Mar 15, 2012
42
4
Mangi mmoja amekutwa na wafanyakazi wa kampuni ya TBL getini akiwa amedondoka na kulala chali huku akiwa hana fahamu jambo ambalo limezua gumzo machoni mwa watu waliomzunguka huku wengine wakipayuka kwa nguvu kuwa apewe maji kwa maana mwili wake ulikakamaa kuashiria kuishiwa maji mwilini.Wakati wasamaria wema hao wakimtafutia maji mara mangi akazinduka akawa mkali huku akisema "kama ningekuwa nimeishiwa maji si ningedondoka geti la dawasco"?Yaani wachaga na kileo ni mswaki na colgate
 
mi nikadhani ni tukio la kweli kumbe ni utani..
Haya Bana, tuma salamu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom