MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 331
Kama weye ni bachela, pole sana ila pia hongera kwa kuweza kupangisha na kuacha ugali wa shikamoo kwa yeyote aliyekulea.
Mhh.... embu jiulize hapo unapoishi mpo mabachela tuuu, je muda wa kurudi ni saa ngapi,, unacha ngapi bar, gest house au safarini....
Kama unaishi na wenye familia za kiafrika,.... je mwisho wa mwezi bili ya maji unalipa shs ngapi sawa na nani? na umeme je?
Jibu unalo... mfano..katika nyumba uliyopanga kuna vyumba 6 vyeye familia..inayotumia maji, umeme ila bill zote mnalipa sawa....
Embu fikiria kwanini bill isilipwe kwa idadi ya watu na sio kwa idadi ya vyumba?
Chambua hili na ulijadili na wapangaji wenzakooo.....
Mie sijamalizia ujenzi ila naweka mabox.... sifaidishi tena watu namna hiiiii.....
badae.