Yametimia ama yanaelekea kutimia..............?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Serikali corrupt siku zote hukimbizana na watu wadogo wadogo mabarabarani huko , na kuwaacha wafanya biashara wakubwa wakikwepa kodi--- J K NYERERE
kuna zoezi (batili) linaendelea mitaani askari wa kuzima moto sasa wamegeuka trafic, wanakamata gari na kuulizia fire extinguisher, kama huna wamepaki gari lao pembeni wanakwambia nenda pale kanunue, huna hela unaandikiwa notefications,
ukiwa nacho hicho kifaa unadaiwa receipt (yao) ama utasikia hiki kifaa sisi hatujakiidhinisha na wala hatukitambui. unajiuliza maswali yasio na majibu.
1. gari yangu ina bima ni kodi
2. nikinunua mafuta natoa kodi
3. road lisence ni kodi
4. stiker ya usalama barabarani n i kodi nk nk nk...............
hivi hii serikali imeishiwa ubunifu usio na KERO wa kutafuta vyanzo vya kodi...........?
 
Mkuu hizo ni sheria ambazo nchi yoyote ile zipo na standard laws. Wewe ulitakaje?

Utembee na gari ambalo halina fire extingusher? Au usilipe road licence?

Watanzania tuache kumiss quote watu hasa Nyerere!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom