Hii kitu imenishinda kabisa naomba Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kitu imenishinda kabisa naomba Msaada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Primitive, Mar 29, 2012.

 1. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nataka kubadilisha ID, nimejaribu nimeshindwa na kurejista ID nyingine naona si vizuri! ID nayotumia imejulikana! Msaada please!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  nani kaijua? Pole
   
 3. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  that's all u can do 4 me? po
  that's all u can do 4 me? "pole"?
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wa PM mods
   
 5. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,312
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  PM Mods kwa ombi lako, la kubadili ID toka hiyo ya zamani kwa kuitaja halafu ID mpya. Ni jambo kama la masaa kadhaa ila usijekuwa fungua ID kwakuwa kubadili inawezekana. Utaelewa wala usiwe na wasiwasi fuata maelekezo kuna wana jf wengi wanabadili. Kila la heri!!
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  @ ID yako imejulikana?!, fafanua plz, inamaana unaogopa nini ukijulikana kuwa wewe Lusinde, mbunge wa mtera ndo mwenye ID hiyo? Sijaelewa wasiwasi wako ni nini. Ciao
   
 7. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umesilimu ama umebatizwa mkuu? Nadhani utafanikiwa.
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ukijiamini, kujulikana si kitu lakini kama mambo yako mzobemzobe,bola ukatake cover mapema. fanya hivi, create new akaunt kwanza ya e mail, baada ya hapo ndipo taratibu nyingine za kujiunga JF zifuate kwa id unayoitaka. e mail moja kama sijakosea haiwezi kutumika kwenye id mbili
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Siyo kweli, e-mail moja yaweza kuwa na infinity # of ID's, JF haibanii mtu
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  sawa mkuu, nimekupata
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  unaogopa nn kujulikana ndugu au ww ni mmoja wa maafisadi papa?
   
 12. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Thanx a lot man!!
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  ndio,au huitaki pole yangu? Basi nirudishie!
   
Loading...